Wanaosoma ucc jitokezeni jamani!!... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wanaosoma ucc jitokezeni jamani!!...

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dottoz, Mar 10, 2012.

 1. dottoz

  dottoz JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 805
  Likes Received: 317
  Trophy Points: 80
  Naomben kujua course ambazo wanaztoa hawa UCC.maana nataka nijiunge.
   
 2. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 1,750
  Trophy Points: 280
  computer application kwa wiki tatu
   
 3. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #3
  Mar 11, 2012
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,587
  Likes Received: 1,890
  Trophy Points: 280
  kuna diploma ya It miaka 2
   
 4. B

  BULOLE BUKOMBE JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 488
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  We bwana unaonekana ni kila kitu unataka kufanyiwa hata ukienda hapo utafeli unashindwa nini kwenda ucc mpaka upige mayowe humu wakati ni wewe unayetaka kusoma? pangekuwa nje ya nchi ningeona ombi lako lina maana lakini kwa hili na ni ujinga mtupuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!?/
   
 5. C Programming

  C Programming JF-Expert Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 1,750
  Trophy Points: 280
  Huyu mwana hajatulia.....
   
 6. TZ boy

  TZ boy JF-Expert Member

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 11, 2012
  Messages: 622
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  vp ni sh.ngapi?
   
 7. Mzenjibar

  Mzenjibar Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Sep 13, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  we jamaa nenda kuna vipeperushi vyao ambavyo vina maelezo yote mpaka xul fees kulingana na kozi
   
Loading...