Wadau mwenye details za tourism sector tz

franktemu123

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
1,400
1,451
Wadau mimi ni mtanzania ila kwa sasa nipo hapa Maryland,USA nasoma pia napiga kazi sehemu nilifikiria kuanzisha kama shule/chuo ya kufundisha mambo ya utalii huko home sasa natafuta fund huku so kwenye proposal yangu inabidi niandike details za Tourism Sector huko home kama kuna yoyote anaweza kunipa details zifuatazo
1. Je TZ tuna wataalamu wenye ujuzi wa kutosha ktk sekta ya Utalii(Kwenye vivutio vya Utalii(National Parks, Tour guides,mahotelini?
2. Kuna vyuo vingapi vinafundisha kozi za Utalii TZ?
3. Je tuna wakufunzi wazawa wenye sifa za kitaaluma zinazotambulika duniani?
3. Mapendekezo nini kifanyike kuondoa uhaba wa wakufunzi/watalaamu ktk sekta?
Mwenye Picha yoyote kwenye sekta ya Utalii iwe hotelini au Mbugani naomba anirushie kupitia franktemu123@yahoo.co.uk
Natanguliza Shukrani
 
Wataalamu wa Utalii wako wengi kule Tanzania tena sana. Data kamili itabidi uulize bodi ya utalii na kuna ofisi moja pale dar es salaam iko mtaa wa samora inaitwa TOURISM INFORMATION CENTRE. Nafikiri wana majibu ya kutosha kabisa ila idadi ya vyuo inabidi uwasiliane na NACTE watakupa jibu sahihi.
 
tukishakujibia hayo maswali si tayari tutakuwa tumemaliza kazi yako yote ? na wewe utakuwa hujaumiza kichwa..kaa chini fikiria matatizo ambayo yapo Tanzania ndio hayo hayo ..ingia kwenye website zao kama unataka data nenda UNWTO utapata kial kitu
 
Nashukuruni wadau kwa Constructive Comments nimepata pa kuanzia. SHUKRANI
 
Back
Top Bottom