Naomba Kufahamu Mipaka na Majukumu ya Phillipo Mulugo na Kassimu Majaliwa

tatanyengo

JF-Expert Member
Mar 30, 2011
1,134
1,195
Ndugu wanajajf, naomba ufafanuzi wa majukumu (kwa anayefahamu) kati ya Naibu waziri wa Elimu na Naibu Waziri TAMISSEMI anayeshughulikia masuala ya elimu. Kwani ukifuatilia kwenye vyombo vya habari unaweza kubaini kuwa yawezekana wanafanya dublication ya majukumu.Kama hivyo ndivyo, naibu waziri mmoja angeweza kuyafanya hayo ili tupunguze wingi wa mawaziri bila sababu za msingi.
 

bornagain

JF-Expert Member
Jan 25, 2012
3,386
2,000
Kaka Tanzania ni zaidi ya uijuavyo, kusema ukweli hwa ndugu wote wanafanya kazi moja kabisa.Lkn tutafanyeje sasa maana katiba si haijalitolea ufafanuzi wacha tuendelee kuumia komoyomoyo mpaka hapo siku tukiwa na wakuu wa mikoa wawili ndani ya mkoa mmoja ndo tutastuka. Kwa sasa ni wachache sana wanaoweza kupiga kelele
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom