Mshahara wa mwezi wa 5.

Mr Mayunga

JF-Expert Member
Jun 11, 2011
313
40
Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.
 
Mwanza hapa ova!, Ndiyo, halmashauri ya jiji....ova! ATM zote zimenuna kweli ova! Hakuna mshahara, haijawahi kutokea miaka ya hivi karibuni, nadhani mwezi huu kinanuka!
 
mbona mie nishalamba na nisha maliza tangu 24.05.2012?
 
Mwanza hapa ova!, Ndiyo, halmashauri ya jiji....ova! ATM zote zimenuna kweli ova! Hakuna mshahara, haijawahi kutokea miaka ya hivi karibuni, nadhani mwezi huu kinanuka!

Poleni sana Mwanza over and out.
 
Mie kwe2 2mepata tar. 25. O5. 2o12 so ucjal ndo ivyo utapata 2 ni haki yko, hata kama utachelewa. Kama vp hama halmashaur
 
Dah,halmashauri za wenzetu sijui kumekaaje huko,yakwangu mpaka mda huu hola!na sio kawaida kufika tarehe hizi.Inawezekana hazina kuna tatizo.
Tehe..tehee.....!
Mayunga usilie, hela zipo ila ngoja wazifanyie business, kesho au k'kutwa ATM zitakuwa tayari. Maana hata H/m yetu bado.
 
Back
Top Bottom