suruhisho (sp) la wizi wa mitihani

kotinkarwak

JF-Expert Member
Aug 5, 2010
376
114
Kila mwaka hii ishu huwa inajirudia rudia na wahusika kutishia makali ya sheria kuikabiri skendo hii.
Naona sasa wapanue wigo wao wa kuchambua nini cha kufanya, inasemekana fibre optic cable sasa imeshatandazwa kote nchini, je hakuna IT solution ya kurahisisha uchapishaji mitihani kwa muda sahihi kutoa mwanya wa wizi huu.

Angalia hapa kuhusu masanduku ya kuhifadhi nyaraka mbali mbali ambayo yanaweza kuharibu hizo nyaraka endapo hilo sanduku linafunguliwa muda usiokuwa set, au kufunguliwa kwa kutumia misuli.... Hii ni solution kabambe ya kuhakikisha kuwa endapo usalama utakuwepo katika process ya kuandaa na kuchapisha, basi usambazaji utaweza kuhakikisha usalama wa mitihani hiyo...


SAT DATA Security Briefcase
 
Back
Top Bottom