ugumu na urahisi wa masomo mbalimbali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

ugumu na urahisi wa masomo mbalimbali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by damashizo, May 29, 2012.

 1. d

  damashizo Member

  #1
  May 29, 2012
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 61
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 13
  hivi wadau je ni kweli kunamasomo magumu na rahisi coz ugumu na urahisi wa masomo is subjective
   
 2. The_Emperor

  The_Emperor JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 884
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Ugumu na urahisi unategemea bichwa la mtu!
   
 3. Good Guy

  Good Guy JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2012
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 4,511
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  kweli naona inategemea na m2 2,maana me nashangaa wa2 wanasema science ngumu kuliko arts wakati hakuna masomo yaliyokua magumu kwangu kama ya arts,mpaka nikayakimbia
   
Loading...