TCU kwa wakati huu imevikwa jukumu la ku-control elimu ya juu Tanzania. Mojawapo ya kubwa wanalofanya ni ku-harmonize viwango vya wanafunzi wanaodahiliwa katika vyuo vikuu vingi nchini. Hili ni...
Nimekuwa nikifuatilia kwa makini rufaa mbali mbali za wanafunzi wa kidato cha 4 na 6 pale NECTA. Lakini kwa miaka kadhaa naona matokeo yao ya rufaa kuwa vile vile (matokeo hayabadiliki). Ni kweli...
SHORT COURSE ANNOUNCEMENT ON DATA PROCESSING AND ANALYSIS
University of Dodoma
College of Natural and Mathematical Sciences
School of Mathematical Sciences
Department of Statistics
The...
Top Foreign Aid Recipients 2008 working on getting the 2010 & 11
Rank Country Aid received for 2008
1 Iraq 9,870 Billion USD
2 Afghanistan 4,865 Billion USD
3 Ethiopia 3,327 Billion USD
4...
je kwa wale wanaume wanaochukua degree ya pindo tuwafikirieje?wamezid wanaume wa cku hz wanapenda mteremko Na hvy kusababisha kufumuliwa pindo ,hv ni nashndwa kuelewa kwa nin wanaume wanatubania...
wakuu,
Naomba niwaombe Watanzania tuwekeze katika kitabu kiitwacho IT ONLY TAKES A MINUTE TO CHANGE YOUR LIFE kwa kukisoma ipasavyo pamoja na familia zetu na kuyafanyia kazi kwa vitendo yale...
Kama kweli Walimu mna uchungu na maisha yenu, chonde chonde msiahirishe MGOMO kama ilivyo kawaida yenu kuahirisha kwa sababu ya kutishiwa na wanaojidai kuwa wenye nchi.Waigeni madaktari hakika...
kama kicha cha habari kinavyoeleza hapo juu. hii scholarship imetolewa na na TANZANIA COMMUNICATIONS REGULATORY AUTHORITY.
kama wataka jua zaidi kuhusu hii scholarship na scholarships nyingine...
Hivi Elimu ya juu namaanisha Elimu ya Vyuo vikuu ni ile ile ya kumeza Notice kama O-level na A-level..!? Au kuna njia mbadala ya kusoma Kwa sababu najua wanafunzi wengi wa Bongo A.k.a Tanzania...
Kwa wale mliosoma au mnasoma au kukifaham vizuri chuo cha saut kuna hii pree entry course sasa kuna girl friend wangu kachaguliwa kuingia pale mwaka huu kuisoma hiyo pre entry na waliambiwa...
She smiled at a sorrowful stranger...
The smile seemed to make him feel better...
He remembered past kindnesses of a friend
And wrote him a thank you letter...
The friend was so pleased with...
Msaada wa kujibiwa hilo swali wakuu na vile vile naomba kuulza wanatumia techniques gani kukuchagua kwenye kozi husika?mwenzenu niko interior sana huku mbinga-ruvuma kwa hyo sijui hata...
Akiongea na vyombo vya habari katibu wa walimu amedai serikali isipowalipa nyongeza za mishahara kulingana na bajeti ya 2011/2012 ndani ya mwezi huu wa tano na kabla ya kuanza kwa bajeti mpya...
Salamu Waungwana. Nina kijana wangu amemaliza F4 mwaka jana lakini kwa bahati mbaya alipata Dv 4 ya pointi 30. Nipo kwenye mikakati ya kumhangaikia. Nimesikia kuwa hapo UDSM huwa kuna kozi za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.