Kwa wenye uelewa wa hili humu jf tafadhali jibu hili swali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wenye uelewa wa hili humu jf tafadhali jibu hili swali!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Advocate J, Jul 8, 2012.

 1. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #1
  Jul 8, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Wana jf mim nna kaswali kangu kadogo ivii kiwango cha mwisho cha elimu ni kipi u profesa au kuna zaidi ya hapo plz nijib
   
 2. prakatatumba

  prakatatumba JF-Expert Member

  #2
  Jul 8, 2012
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 1,337
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Elimu haina mwisho
   
 3. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #3
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Professor ni cheo siyo kiwango cha elimu; Kiwango cha mwisho cha elimu ni Doctor of e.g sience or art or law etc. Doctor of e.g. science (DSc) ni kwa watu walio na PhD (doctor of philosopy) na ambao baada ya kuitumikia hiyo degree yao (PhD)kwa miaka fulani say X wameonyesha weledi/elimu ya hali ya juu katika fani waaliyosomea wakati wa PhD. Ili upate DSc lazima upeleka maombi yako na kazi zako ulizofanya chuo kikuu tarajiwa ambacho kitateua watu maprofesa miongoni mwao na hata vyuo vingine ili kuevaluate hizo kazi zako na kurecommend kwenye senate kama unafaa kupewa DSc.

  Kuhusu Professor: hiki ni cheo cha mwisho kwa wahadhiri wa vyuo vikuu. Kwa mafano US cheo cha kuanzia kwa mwalimu wa chuo kikuu ni Assistant Professor, follwed by Associate Professor and finally full Professor. Kwa Tanzania cheo cha kuanzia kwa wanataluma wa vyuo vikuu ni Tutorial Assistant, Assistant Lecturer, Lecturer, senior lecturer, associate professor, full Professor. Kwa kawaida kutoka cheo kimoja mpaka cheo kingine ni miaka mitatu.
   
 4. M

  Miela Member

  #4
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 29, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Na katika hali ya kawaida, mtu anaweza kuwa professor kabla ya kupata Poor Hair Disribution (Phd).
  )
   
 5. georgeallen

  georgeallen JF-Expert Member

  #5
  Jul 8, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 3,758
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  Inawezekana mtu asiye na PhD akawa Professor. kwa mafano baadhi ya vyuo china Mtu mwenye MSc anaanzia na cheo cha Assistant professor; na hata Tanzania zamani ilikuwa inawezekana; Kwa mfano UDSM walikuwa na Maprofessor ambao hawakuwa na PhD e.g. the Late Professor Machunda. Na hata nchi za ulaya kama Denmark kuna maprofessor ambao hawana PhD. Kwa sasa vyuo vingi vimeweka sharti la mtu kuwa Promoted to a rank above senior lecturer lazima awe na PhD.
   
Loading...