Heshima Mbele Wakuu..
Bodi ya Taifa ya Wahasibu na Wakaguzi-NBAA leo imetoa matokeo ya watahiniwa wake waliofanya mitihani mwezi Mei mwaka huu. Niwapongeze wale woote waliofanya vizuri katika...
Habari wadau mimi nilimaliza A-leval mwaka 1998 na nini Principal Pass moja na Subsidiary Moja..Kwa sasa ninfanya kazi Shirika fulani kubwa hapa Tz na ninahitaji kuongeza ELIMU angalau ya Diploma...
Nimekuandalieni mfululizo wa makala ziitwazo Hekaya za Bahlul. Makala hizi zina ukweli ndani yake ndani ya Historia ya Mashariki ya kati. Tutaanza kwa kukupa maana ya Bahlul na Historia yake...
Niko mwaka wa tatu, nimetuma paper yangu kwa conference moja huko Italy, wameikubali, wanataka nijiandikishe kwa kulipa EURO 360, then niende nika present paper. Hivi gharama za maisha huko...
It is a pity that the TCU Central Admission System up to know still displays on thier website that registration will expire on 4th/7/2012. Mind today is 5th July 2012. How irresponsible they...
Nakumbuka mwaka 1995.chuo cha uhasibu wanachuo wote walifukuzwa na hawakurejeshwa tena chuoni .Nimebahatika kukutana na baadhi yao mfano aliyekuja kuwa rais wa Daruso komredi Julius...
Ulimboka ana damu tofuti na Waislamu waliouliwa Mwembechai?
Sehemu ya mazungumo ya Mheshimiwa Kitwana Kondo (MB) mbele ya waandishi wa habari Mei 27, mwaka huu
JUZI tarehe 21 ya mwezi huu...
Wa kwanza ni wanasiasa wanaoingilia Mahakama kufikia maamuzi.Wa pili ni Taasisi ya Sheria kwa Vitendo almaarufu kama Law School of Tanzania.Hawa wanafanya kila liwezekanalo kuzuia ongezeko la...
Salaam Wakuu,
Kwa siku mbili mfululizo nimekuwa nikijaribu kubadili course za mdogo wangu zilizowekewa comment tajwa bila mafanikio. Nikiclick kwenye selected programs inarudi tena kwenye page ya...
Jamani hivi hiki CHAMA CHA WALIMU kipo kwa manufaa ya nani? Mi naona bora walimu wa primary wawe na chama chao na wale wa sekondari nao wawe na chama chao,kama ilivyo kwa wakufunzi
The brain grew in the body of a German woman in the summer of 1878 in the Swabian Alps of the Danube. The woman lived there with her husband in a medieval city called Ulms. The husband was a...
jaman brothers and sister naomba mtu yoyote mwenye kuelewa tofauti kati ya hivi vitu viwili anieleweshe maana naona kama vinanichanganiya kidogo na ipi kati ya hizo ni nzuri zaidi..
Asanteni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.