Selection za tcu ni lini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Selection za tcu ni lini?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Perry, Jul 6, 2012.

 1. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Msaada wa kujibiwa hilo swali wakuu na vile vile naomba kuulza wanatumia techniques gani kukuchagua kwenye kozi husika?mwenzenu niko interior sana huku mbinga-ruvuma kwa hyo sijui hata kinachoendelea huko ulimwenguni.natanguliza shukrani.
   
 2. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,962
  Likes Received: 1,284
  Trophy Points: 280
  mwanzo wa August
   
 3. Msafiri Kasian

  Msafiri Kasian JF-Expert Member

  #3
  Jul 6, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  DEADLINE FOR REGISTRATION INTO CENTRAL ADMISSION SYSTEM FOR THE ACADEMIC YEAR 2012/2013 HAS EXPIRED. CENTRAL ADMISSION SYSTEM v2 WAS OFFICIALLY OPENED ON 01/04/2012 TO 04/07/2012. HOWEVER APPLICANTS WHO HAVE ALREADY REGISTERED INTO CAS CAN STILL
  UPDATE THEIR PROFILE INFORMATION AND CHANGE THEIR SELECTED PROGRAMMES WHICH ARE MARKED "NOT ELIGIBLE" UNTIL 08/07/2012.

  Kutokana na hili tangazo lao,nadhani ni mapema sana kusema selection zitafanyika lini. Ila natumaini zitafanyika mara tu baada ya applications kukamilika. Selection inafanyika kwa kushindanisha wote waliomba program husika,na wale walio na ufaulu mzuri ndio wanachaguliwa kwanza.
   
 4. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  sasa hapo sisi wenye vidivisheni two vyetu tuliojifanya kuomba university of d'salam tutachaguliwa kweli,maana kila applicant anatamani kusoma dar?
   
 5. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  TCU kweli janga la taifa kila siku wanaongeza muda
   
 6. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  mim nasema ivii lazma tcu waangalie matokeo ya f4! na f6 ili kupata watu wenye taalumabora na ya uhakika
   
Loading...