Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je elimu ya vyuoni ni ya kumeza notice au kuna kuna kuelewa ndani yake?!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by ze duduz, Jul 4, 2012.

 1. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #1
  Jul 4, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Hivi Elimu ya juu namaanisha Elimu ya Vyuo vikuu ni ile ile ya kumeza Notice kama O-level na A-level..!? Au kuna njia mbadala ya kusoma Kwa sababu najua wanafunzi wengi wa Bongo A.k.a Tanzania wengi wao ni wamezaji notice?
   
 2. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #2
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Kumeza madesa ka kawaida dogo!
   
 3. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #3
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  unataka kusema nini? ili tuchangie mkuu
   
 4. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #4
  Jul 4, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  mi naona ya kwamba mtu akimeza notice huwa haelewi hivi huwa ni ukweli au porojo tu
   
 5. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #5
  Jul 4, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  Mi nilikua nauliza kwamba wanafunzi wa vyuo vikuu hivi huwa wanameza notice kama wanafunzi wa olevl na a-lvl
   
 6. kapistrano

  kapistrano JF-Expert Member

  #6
  Jul 4, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1,204
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Ok nimekuelewa kwa swala la kumeza notice elimu ya juu siwezi nikapinga moja kwa moja ila utameza vingapi? ukiwa na mtindo wa kumeza notice utachemka tu.
   
 7. l

  lugano5 JF-Expert Member

  #7
  Jul 4, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 4,342
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 5
  system ya kumeza ndo elimu yote utameza mpka uchoke tena vyuo wanaopenda sifa kama SUA utakoma,but not give up ndo system kukariri then kuelewa kunafuata
   
 8. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #8
  Jul 4, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  ze duduz. Kwa sehemu kubwa elimu ya sasa hapa kwetu si ya kuelewa wala kumeza hizo notes, bali ni ya KUIBUKA NA CHETI (from nowhere) ili mradi kina nembo halali ya chuo/shule husika.
  Matokeo ya mtindo huu ni kwamba Tanzania italazimika kutegemea intellectuals kutoka nje ili iweze kushindana ktk globalization. Hiyo ya kumeza iko halfway.
   
 9. +255

  +255 JF-Expert Member

  #9
  Jul 4, 2012
  Joined: Jan 1, 2012
  Messages: 1,909
  Likes Received: 285
  Trophy Points: 180
  Kama unataka kuelewe kasome Medicine, Engineering ( Course zote zenye practical). Ila hizi nyingine ni kumeza kwenda mbele, ukishakuwa na course outline hauhitaji kwenda kwenye kipindi, unakuwa ka unasoma Open University.
   
 10. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #10
  Jul 4, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  Usiseme kumeza tu dogo,hata kupigana chabo kwenye paper kupo!
   
 11. ze duduz

  ze duduz JF-Expert Member

  #11
  Jul 5, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 864
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  hehehehehe..! Mbona makubwa?!..hivi mkuu kwani hakuna usimamizi ndani ya chumba cha mtihani?
   
 12. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #12
  Jul 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 867
  Trophy Points: 280
  usimamizi upo tena mkubwa tu..lakn ndo ivo tena.
   
 13. Vegetarian

  Vegetarian JF-Expert Member

  #13
  Jul 5, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 607
  Likes Received: 274
  Trophy Points: 80
  Mkubwa inategemeana na mambo kadhaa,kuna mda wa 'kumeza'pia kuna mda wa 'kutema' ulichokimeza pia kuna wakati wa kukitumia pia..mfano kwenye semina,field disc.nk. Hivyo ukiishia kumeza tu,unaweza kushindwa kutumia ulichokimeza..
   
 14. sister

  sister JF-Expert Member

  #14
  Jul 5, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 9,029
  Likes Received: 3,940
  Trophy Points: 280
  na paper fake pia zipo.
   
 15. U

  Ulimakafu JF-Expert Member

  #15
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 18,015
  Likes Received: 743
  Trophy Points: 280
  cheti zaidi mkuu.
   
 16. MWANAZUONI MTI MKAVU

  MWANAZUONI MTI MKAVU New Member

  #16
  Jul 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni nzuri bana elimu bt mfumo makes us tumeze
   
 17. pius maige

  pius maige Member

  #17
  Jul 5, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 59
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  He na pepa fek?profesa unamhonga ngap?na degree za chu**p?
   
 18. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #18
  Jul 5, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  Dah! Ni hatari yani unaweza usiingie darasani na ukafanya vizuri
   
 19. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #19
  Jul 5, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  je!nakukesha je ?
   
 20. Advocate J

  Advocate J JF-Expert Member

  #20
  Jul 5, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 3,880
  Likes Received: 101
  Trophy Points: 160
  na kuna kugombania namba kama sekondar yan kugombania nafac ya kwanza na kuingia topten
   
Loading...