Kitabu kiitwacho IT TAKES A MINUTE TO CHANGE YOUR LIFE. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kitabu kiitwacho IT TAKES A MINUTE TO CHANGE YOUR LIFE.

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by SolarPower, Jun 27, 2012.

 1. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wakuu,

  Naomba niwaombe Watanzania tuwekeze katika kitabu kiitwacho IT ONLY TAKES A MINUTE TO CHANGE YOUR LIFE kwa kukisoma ipasavyo pamoja na familia zetu na kuyafanyia kazi kwa vitendo yale yaliyomo katika kitabu hicho. lazima tutaona mabadiliko makubwa na ya kudumu katika maisha yetu na familia zetu.
   
 2. Nyenyere

  Nyenyere JF-Expert Member

  #2
  Jun 29, 2012
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,568
  Likes Received: 1,934
  Trophy Points: 280
  Nilidhani umeweka link tulipate!
   
 3. b

  bidada Senior Member

  #3
  Jun 29, 2012
  Joined: Jan 12, 2012
  Messages: 108
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ahsante Mkuu, nami nimekisoma hiki kitabu kwa kweli kina manufaa sana ukikifuatilia kwa makini.... Ni moja ya vitabu ambavyo huwa sichoki kuvisoma.
   
 4. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #4
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,635
  Likes Received: 1,992
  Trophy Points: 280
  Kama kuna mwenye kitabu hiki naomba ampe zomba wa jf!
   
 5. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #5
  Jun 30, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,333
  Likes Received: 1,796
  Trophy Points: 280
  Who is the author?
   
 6. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #6
  Jun 30, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mtunzi wake ni Willie Jolley. Na tovuti yake ni www.williejolley.com
   
 7. M

  Mopalmo JF-Expert Member

  #7
  Jun 30, 2012
  Joined: Nov 11, 2010
  Messages: 456
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Weken soft copy hapa banaaa
   
 8. Bilionea Asigwa

  Bilionea Asigwa JF-Expert Member

  #8
  Jun 30, 2012
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 12,629
  Likes Received: 9,844
  Trophy Points: 280
  ngoja tukitafute mkuu... THANKS FOR SHARING...this is a very ince POSITIVE ATTITUDE
   
 9. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #9
  Jul 3, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
 10. S

  SolarPower JF-Expert Member

  #10
  Jul 8, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nakushukuru kwa uamuzi wako. Vijana wengi wauza vitabu mtaani wanacho. Ukiwaona una uhakika wa kukipata kwa bei isiyozidi shilingi elfu 8.
   
Loading...