serikali isipowalipa walimu ndani ya mwezi huu wanagoma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

serikali isipowalipa walimu ndani ya mwezi huu wanagoma

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by dosama, May 19, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Akiongea na vyombo vya habari katibu wa walimu amedai serikali isipowalipa nyongeza za mishahara kulingana na bajeti ya 2011/2012 ndani ya mwezi huu wa tano na kabla ya kuanza kwa bajeti mpya kuanza lazima wagome.

  Amedai kuna madai mengi ya walimu na walihaidiwa kulipwa ndani ya mwaka huu wa fedha hawajalipwa ikiwemo na nyongeza za mishahara.

  Concern.
  Kwa nini wasigome serikali yetu bila nguvu haki yako sahau
   
 2. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Akiongea na vyombo vya habari katibu wa walimu amedai serikali isipowalipa nyongeza za mishahara kulingana na bajeti ya 2011/2012 ndani ya mwezi huu wa tano na kabla ya kuanza kwa bajeti mpya kuanza lazima wagome.

  Amedai kuna madai mengi ya walimu na walihaidiwa kulipwa ndani ya mwaka huu wa fedha hawajalipwa ikiwemo na nyongeza za mishahara.

  Concern.
  Kwa nini wasigome serikali yetu bila nguvu haki yako sahau
   
 3. M

  Mwanantala Senior Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: May 13, 2010
  Messages: 120
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Tatizo waalim hawana mshikamano. Huu ni wakati muafaka kwao kupata stahili zao iwapo watatumia mgomo.
   
 4. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  walimu kwa porojo!
   
 5. samito

  samito JF-Expert Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  na wagome sio watishiwe nyau afu warud nyuma
   
 6. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #6
  May 19, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,916
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160
  Walimu hawana msimamo ndio maana wanapelekeshwa tuu.
   
 7. Ndebile

  Ndebile JF-Expert Member

  #7
  May 19, 2012
  Joined: Sep 14, 2011
  Messages: 3,631
  Likes Received: 1,991
  Trophy Points: 280
  jaribu kugoma muone upepo wa vyeti vya marehemu utakavyowageukia ukitokea kwa wagambo....sorry polisu!
   
 8. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #8
  May 19, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,873
  Likes Received: 6,223
  Trophy Points: 280
  na wao hawanaga msimamo wacha wapelekeshwe
   
 9. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #9
  May 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Lini panya akamtisha paka?
   
 10. dedam

  dedam JF-Expert Member

  #10
  May 19, 2012
  Joined: Jan 5, 2011
  Messages: 846
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  tisha tisha nayo husaidia
   
 11. Jumakidogo

  Jumakidogo R I P

  #11
  May 19, 2012
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 1,859
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Walimu hawana lolote, wepesi wa kudanganywa wakadanganyika. Waoga wa kuporwa ajira zao. Hata leo wakiambiwa mishahara yao inapunguzwa wataogopa kugoma. Wanashindwa hata na vitoto vya chuo. Eti wanasema wana mgomo baridi. Hivi mtu ukidai kitu huku umefunga mdomo utasikiwa?
   
 12. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #12
  May 20, 2012
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,949
  Likes Received: 1,274
  Trophy Points: 280
  analenga likizo
   
 13. m

  mwalimu. Member

  #13
  May 20, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  professional teachers hawagomi, wao furaha yao kubwa ni kufundisha watoto sio pesa. mkoba na timu yake ni ma-mediocre
  kwani ile nyuma ya walimu waliyo jenga pale dsm ni ya nini?
   
 14. K

  Kishili Benjamin Member

  #14
  Jul 6, 2012
  Joined: Jul 6, 2012
  Messages: 53
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hello forum!! Naipenda nchi yangu!ila suala gumu ni je waziri husika yuko wapi?na ikiwa serikali iliwaahidi nyongeza,ugumu uko wapi?watimize ahadi!rais,mbunge,waziri,na wengine wote hufundisha na mwalimu!wakae chini wajadili suala kwa kina.
   
Loading...