Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Nisaidien kwa m2 anayeijua vizur science general.all information.,application ana employment especially kwa aliyesoma EGM.
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Ipi iko more valuable na nikafanyakazi vizuri
0 Reactions
11 Replies
2K Views
haya wale Watakatifu wa Yohana wote mliochaguliwa ingieni kwenye website mpate orodha nzima na maelekezo yote muhimu, shime mjiandae tar. 8 october tukaanze kula kitabu. HONGERENI SANA.:flypig:
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Ndugu napenda niulize kwa wenye ufahamu kuhusu hili,. Hivi kuna matumaini yoyote ya kupata mkopo kwa wanafunzi waliosomea masomo ya biashara na arts yaani EGM,HGE.ECA na HGL,HKL,HGK,KLF...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Katika kudhihirisha ule usemi wa "Huwezi kushindana na Serikali" tangu jana kuna zoezi la kuhakiki vyeti (academic) kwa walimu wa shule za msingi na sekondari za hapa jijini Mwanza. Wakaguzi...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
jamani nilikuwa naitaji kujua application form na joining instruction za udsm nitazipata vipi?nimesikia znapatikana kwenye mtandao ila nmezikosa
0 Reactions
14 Replies
8K Views
mwenye joining saut songea Msaada Jamani
0 Reactions
1 Replies
921 Views
NATAMANI KUONGEA UKWELI ILA NAHOFU KUNA WATU WATANICHUKIA HUMU NDANI…… HEBU ANGALIA MAISHA YA HUYU KIJANA MWENZETU KUTOKA MOSHI VIJIJINI AMBAYE ALIKUWA NI MWANAFUNZI MWENZETU KATIKA CHUO CHA...
1 Reactions
26 Replies
4K Views
Asaalam wanajf..... Kuna best yangu kachaguliwa PR ila anataka kuchange kwenda HR ila mi nimemshauri asichange ,,,,, vipi km ni wewe ungemshauri vipi?????
0 Reactions
0 Replies
875 Views
USHUHUDA ULIONITOA CHOZI MBELE YA AKADAMNASI.........SOMA ILA USILIE NAIKUMBUKA HII SIKU AMBAYO MWANAUME NILITOKWA NA CHOZI BAADA YA KUPATA USHUHUDA HUU KUTOKA KWA MDAU NINAYEMJUA KABISA NA...
8 Reactions
48 Replies
7K Views
Yaani baada ya kuongeza muda wa 2nd round,hii sasa sijui tuiite 3rd round? Hadi tarehe 7 tena mwezi wa 9.....Namna Heslb si 18?
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hello wanaJF!Nnaomba kujua utaratibu wa udahili na ufadhili kwa wale walio'apply' kwaajili ya masters' na phd katika chuo /taasisi ya teknolojia ya MANDELA kule ARUSHA!
0 Reactions
0 Replies
2K Views
NATANGULIZA HESHIMA WAKUU WENZANGU: Jmn hv hii koz utakapoisoma baada ya kuhitim kidato cha nne je baadae unaweza kujiendeleza? Na baada ya hapo utakuwa na cheo gan? Na je? Mishahara yao ni...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
naombe msaada wajoin maana kwenye web yao mm sion
0 Reactions
7 Replies
6K Views
Wanafunzi mliochaguliwa na TCU na mnaosubiri mkopo tegemeeni kupata au kukosa mkopo kwasababu LOAN BOARD hawaeleweki!!!!
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Wadau heshima yenu! Naomba mnisaidie haya yafuatayo, kwanza naomba tofauti ya hizi university programes kati ya: BA. Arts in Education na BA. Arts with Education. Pili, hivi mtu aliyesoma digree...
0 Reactions
23 Replies
9K Views
naomba kufahamu ada za muhas kwa diploma
0 Reactions
0 Replies
753 Views
kwa wale wana saut songea registration lini?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Matokeo ya wanafunzi walioomba vyuo kupitia TCU yanatoka kesho saa moja usiku..... samahani kwa sumbufu uliojitokeza Ingia kwenye account yako then utajijua upo wap! Umechaguliwa au unahitajka...
4 Reactions
391 Replies
53K Views
Jaman watu woote mliochaguliwa kwny vyuo vikuu tz na nje,,kwa wale fresh frm skul plz take cr na uendacho kufanya, mi ni mzoef chuon kwn np mwaka wa 3 sa iv,ili ictokee ukaja kujuta plz fanya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom