Je nini malengo ya Elimu ya Msingi? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Je nini malengo ya Elimu ya Msingi?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Kimbori, Sep 17, 2012.

 1. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,744
  Likes Received: 361
  Trophy Points: 180
  Naomba kujua na kisha tujadili malengo ya Elimu ya Msingi wakati huu wahitimu wa darasa la Saba wakijiandaa na Mtihani wa mwisho.
  Hii itatusaidia kufanya tathmini juu wa ubora wao kwa kuzingatia malengo ya Elimu ya Msingi.
  Nakuomba wewe mdau wa elimu ya Tanzania tujadili pamoja.
   
Loading...