Utata wa boom robo ya mwisho Mzumbe

basa

JF-Expert Member
Mar 21, 2012
252
383
Nimeshangazwa sana na kauli ya rais wa muso ktk gazeti la nipashe,eti tumetulizwa kwa kukopeshwa sh elfu hamsini in hali anajua hali halisi kuwa pesa zimecheleweshwa kwa wiki tatu,serikali yake dhaifu imeshidwa kuzuia mfumko wa bei za vyakula chuoni,hizo elfu hamsini mpaka hii leo hatujasain coz kuendelea kuwalea wanaofanya madudu,mwaka wa pesa wa hz fedha ulishakwisha,.........HALI BADO TETE NJOO CHUO HARAKA..............
 
Back
Top Bottom