Ifahamu system itakayotumika kusahihisha mitihani ya darsa la Saba

Brodre

JF-Expert Member
Aug 23, 2012
2,351
1,372
Short for Optical Mark Reading or Optical Mark Readers, OMR is a system that gathers information by using a hardware device that detects a reflection or an absence of reflection from a card or piece of paper. OMR enables the processing of hundreds or thousands of documents every hour automatically. OMR processing is popular for tests, where students receive a special card containing several empty circles and a packet that contains the questions and possible answers to each of the questions. The student must complete the test by using a pencil to fill in each blank circle with what he or she believes is the correct answer. For example, if the answer is "B", the student would have to fill in the "B Circle" in order to get the answer correct.
Once the card or form has been completed a user would feed the cards into a system that grades or gathers information from the card. An example of an OMR system is the Scanmark 5500 from Scantron, a system that is capable of processing 5,500 documents every hour.

source: What is OMR (Optical Mark Reading)?
 
Attachments

  • omr.jpg
    omr.jpg
    22.6 KB · Views: 71
System inaweza kuwa nzuri lakini hawa vijana wetu wasiojua kuandika itakuwa ngumu sana. Teknolojia na umbumbumbu haviendani kabisa. Tusubiri tuone.
 
System inaweza kuwa nzuri lakini hawa vijana wetu wasiojua kuandika itakuwa ngumu sana. Teknolojia na umbumbumbu haviendani kabisa. Tusubiri tuone.

Kukurupuka kwa watawala wetu. Wameifanyia mazoezi kwa wanafunzi madarasani? Kutakuwa na havoc kwenye hivyo vyumba vya mitihani. halafu mambo yakiharibika wanatafuta wa kumwajibisha waepuke lawama!
 
Inaweza kuwa njia makini zaidi. Tatizo serikali inaipeleka wapi elimu yetu ya Tanzania? Hadi mtihani wa hesabu kuchagua? Mimi naamini kidato cha kwanza kwa miaka inayokuja watakuwa wabovu kwenye kazi za kuandika sana hadi watakapozoea,hii ni kwasababu wamezoea kila kitu kuchagua. Amini msiamini,yangu macho mtaona.
 
Short for Optical Mark Reading or Optical Mark Readers, OMR is a system that gathers information by using a hardware device that detects a reflection or an absence of reflection from a card or piece of paper. OMR enables the processing of hundreds or thousands of documents every hour automatically. OMR processing is popular for tests, where students receive a special card containing several empty circles and a packet that contains the questions and possible answers to each of the questions. The student must complete the test by using a pencil to fill in each blank circle with what he or she believes is the correct answer. For example, if the answer is "B", the student would have to fill in the "B Circle" in order to get the answer correct.
Once the card or form has been completed a user would feed the cards into a system that grades or gathers information from the card. An example of an OMR system is the Scanmark 5500 from Scantron, a system that is capable of processing 5,500 documents every hour.

source: What is OMR (Optical Mark Reading)?

Itarahisisha na kupunguza gharamaza kusaisha mitihani, ila wasiwasi wangu ni je tumefikia stardard hii ya kutumia system? sababu bado kuna idadi kubwa tu wanafunzi ambao hawajui kusoma na kuandika.. Nadhani tutafute njia mbadala ya kututoa hapa tulipo..
 
Tumekwisha hii taaluma ya mapepari watoto wetu kule vijiji mwanga wa elimu utaangamia mungu tuhurumia. Tunapumbazwa kwa mambo madogo hakuna tena kukokotoa hesabu za kikwetu.Wadanganyika.
 
heheheee hapo nafumba macho penseli itapodondokea ndo nashedii tokeo likija bahati nasibuu hii ndo bongo
 
Kama sijakosea hii ndiyo niliyofanyia mtihani wangu wa darasa la saba(CPE) hapa kwa jirani(Kenya) mwaka 1975. unapewa hizo answer sheet unashade the right letter, kama A,B,C, au D
 
ndo maana hata wasiojua kusoma wala kuandika ilikuwa rahisi kwao kujaza wino sehemu yenye jibu sahihi baada ya keegelezea (kuibia majibu) kwa wenzao
 
mie naombea iwe mwisho darasa la tano afu ndo form one wao wanaongeza system duh.bola tulioanza shule na miaka minne
 
system hii itazidi dumaza elimu mtu anabahatisha tu anapata hajui hata kukokotoa hesabu yani sijui tunaelekea wapi.
Yani kadri muda unavyokwenda baadala elimu iboreshwe ndo inazidi tengeneza mabogasi.
Hivi hawashangai inakuaje mtu kamaliza la saba lakini hajui soma wala kuandika. Hii nchi ya ajabu kweli.
 
Duh, ni masomo yote? Vp masomo ya lugha cku izi hamna kuandika barua? Ha ha ha.. Au utachagua barua iliyoandikwa kwa usahihi? Duh..
 
Wanafunzi wenyewe wanatafuta sababu ya kutoka ktk chumba cha mtihani mapema iwezekanavyo. Mfumo huu ni kicheko kwao, hasara kwa taifa.

Ktk mitihani tuliyokuwa tukiifanya sisi, nakumbuka kila hatua kuelekea ktk jibu, kwa mfano ktk hisabati, ilikuwa na maksi yake. Sasa ktk mfumo huu maksi zote ziko ktk jibu!
 
kwa mfumo wa elimu wa tanzania, ambao mwalimu amekata tamaa na hivyo mwanafunzi hajifunzi kwa ukamilifu mfumo wa OMR unakamilisha msumari wa mwisho kwenye jeneza ili kuizika ELIMU yetu. Yafuatayo ni matokeo tarajiwa kwa mfumo huu:-
KUVIZA UWEZO WA KUFIKIRI WATOTO.
WATOTO WAVIVU KUTOSHIRIKI UKOKOTOZI KATIKA MTIHANI WA HISABATI
UWEZAKANO WA KUIBIANA MTIHANI KUONGEZEKA
UWEZEKANO WA WATOTO WASIOJUA KUSOMA NA KUANDIKA KUFAULU MTIHANI KWA KUWA KUSILIBA HAKUPI UJUZI WA KUSOMA AMA KUANDIKA
SOMO LA HISABATI LITAZIDI KUDHOOFISHWA ZAIDI!
 
Kukurupuka kwa watawala wetu. Wameifanyia mazoezi kwa wanafunzi madarasani? Kutakuwa na havoc kwenye hivyo vyumba vya mitihani. halafu mambo yakiharibika wanatafuta wa kumwajibisha waepuke lawama!

umenena vyema mkuu,
wangetakiwa wajaribu kwa somo moja kwanza waangalie ufanisi wake kabla ya kutumia kwa mitihani yote.
Hapo ndo utaona necta wanavyokosea.
Kama kabla ya kuanza huo mfumo kuna wanafunzi elfu 5 walifaulu na hawajui kusoma na kuandika, tutegemee nini mwakani kama sio idadi hiyo kuongezeka mara dufu!
 
Back
Top Bottom