mikopo mwaka huu haina ubabaishaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

mikopo mwaka huu haina ubabaishaji

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by cheche19, Sep 18, 2012.

 1. c

  cheche19 Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mwaka huu mikopo haitachelewa kuingizwa kwenye akaunt za wanafunzi,hii ni kupunguza maandamano ya wanafnz na maandalz ya uchaguz 2015,chanzo mdau wangu loan board.
   
 2. B

  Best Mzava Senior Member

  #2
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 20, 2012
  Messages: 135
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chamsingi ni watatoa lini mkuu.
   
 3. A

  Apex JF-Expert Member

  #3
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ww cheche huu sio wakati wa kueleza mikopo itatolewa kwa wakati au la ,,issue 1st year loan allocation zitatoka lin? mambo mengine bwana:spy:
   
 4. NingaR

  NingaR JF-Expert Member

  #4
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 15, 2012
  Messages: 2,836
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Wakifanya hivyo mbona watanikata maini, me nilikua nataka wacheleweshe wik 3 hivi nianze kula za mzee
   
 5. Njunwa Wamavoko

  Njunwa Wamavoko JF-Expert Member

  #5
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 11, 2012
  Messages: 5,577
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  mkuu huyo ci angekwambia wanatoa tarehe ngap?makee ilo alijaanza ku2humiza li2humizalo ni hilo la lin zinatoka!
   
 6. G

  Genius 1 Member

  #6
  Sep 18, 2012
  Joined: Aug 1, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwel 2mechoka kuwait bwana hayo yatafata badae kwanza 2jue percent zetu
   
 7. sun wu

  sun wu JF-Expert Member

  #7
  Sep 18, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 2,025
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 0
  Mkuu are you serious..?
  Unasema mwaka huu haina ubabaishaji wakati hakuna mwaka ambapo percentage kubwa haijapata mikopo kama huu mwaka.

  Binafsi naona mwaka huu ubabaishaji umezidi (ndugu zetu wengi watashindwa kwenda kusoma kwa kukosa uwezo)
   
 8. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #8
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,097
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  :blabla:
  hivi hili jukwa lina MODERATOR kweli maana verification ya habari huku ni sifuri kwanini wanashindwa kumoderate hizi habari za hili jukwa zinajaza server kwa kweli msipende kutiana pressure tunakubali una uhuru wa kuzungumza unachosikia ila angalia kama kina kwa wakati wake..
  HII HABARI YA LOAN BOARD WADOGO ZANGU MNGEKAA MTULIE SYSTEM YA KITANZANIA TUNAIFAHAMU UZEMBE KWA KWENDA MBELE ... WANA EXCUSE NYINGI KULIKO KAWAIDA ... MAJINA LAZIMA WATOE TU NA HARAKA IWEZEKANAVYO MARA NYINGI WANATEGESHEA VYUO VYA SERIKALI VIKARIBIA KUFUNGUA NDIO WANAUZIMA HUU MOTO MAANA WANAJUA HUWA HAKUKALIKI..
   
 9. D

  DODOSO REFU Member

  #9
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 16, 2012
  Messages: 12
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wat i think we nid to b sirias kama huna taarifa yenye uhakika kaa kimya maana sisi tunataka taarifa makini zenye kutusaidia.Sio ilimradi upost demu wako aone.
   
 10. X

  X.800 Senior Member

  #10
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 17, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  du kumbe watu wana madem zao humu
   
 11. z

  zabu Member

  #11
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 12, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  itakuaje wasem hayo wakati hat loarn kwa wanafunzi hawajatoa,waache ubabaishaj
   
 12. c

  cheche19 Member

  #12
  Sep 18, 2012
  Joined: Sep 18, 2012
  Messages: 7
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  taarifa yyte ninayo ipata lazma iwe public kwa wanajamvi,in case mkopo ukatoka hata leo,inshu inabak palpale kuwa pesa inakua deposited kwenye acounts haraka sana.
   
 13. Az 89

  Az 89 JF-Expert Member

  #13
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 20, 2011
  Messages: 1,613
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  [​IMG] Member Array


  Join Date : 11th August 2012
  Posts : 87
  Rep Power : 323
  Likes Received3
  Likes Given7


  HIVI MODS MNARUHUSU HUYU MTU WA FACEBOOK KUWEKA AVATAR YA SEHEMU ZA SIRI ZA MWANAMKE? UDHALILISHAJI HUU....HATA MAANDISHI YAKE YANAONYESHA NI MTOTO WA FACEBOOK SIO GREAT THINKER....
   
 14. S

  Suma mziwanda kageye JF-Expert Member

  #14
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 5, 2012
  Messages: 214
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  sasa watawah kuingiza alafu ha2ui 2tapewa kias gan
   
 15. Mzee Dogo

  Mzee Dogo JF-Expert Member

  #15
  Sep 18, 2012
  Joined: Nov 13, 2010
  Messages: 384
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Nilifikiri una habari yenye matumaini kumbe ni kupeleka kiangazi kwenye njaa....!
   
Loading...