msaada tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by nover, Sep 17, 2012.

 1. nover

  nover Senior Member

  #1
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  habari wana jukwaa, mimi nimechaguliwa udsm bachelor of economics with statistics, ila ndugu zangu wamenishauri kua nikifika chuoni nibadili niamie accounts.....naombeni ushauri wenu je nibadili?, kwa ambaye anaijua iyo facalt na wigo wake wa kazi tafadhali anijuze, asanteni
   
 2. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #2
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  nover jua kwamba haya yatakua maisha yako na sio ya ndugu zako.....swali ni wewe umeipenda hiyo program uliyochaguliwa???? je akaunti unaijua hasa kwa soko lake kwa sasa hapa bongoland???
  USHAURI
  Kama unapenda hiyo ya econiomics with staticstics just go for it..ila kama huipendi(hapa wasiliana na moyo wako) nenda kabadili!! usibadili kisa ndugu yako kasema ubadili....
  MAWAZO
  hiyo program ya economics with statistics ni mjumuisho wa program mbili yaani economics na statistics,sasa hapa itakua simple sana kwa baadae(hasa kwenye swala la ajira) maana utaweza fanya kazi kama statician na kama economist(kwa nnavyojua hata mtu aliyesoma economics kuna baadhi ya kazi za akaunti anaeza fanya)!!! kwa haraka ni kwamba iko wide na market yake hasa kwa baada inaweza kua nzuri tofauti na akaunti!!!
  ila sisemi usiwasikilize ndugu zako..wasikilize hasa sababu za kukutaka wewe ubadilishe hiyo program.....JUA MAISHA YAKO YA BAADAE MUHUSIKA MKUU NI WEWE NA SIO NDUGU ZAKO...SIKILIZA MOYO WAKO HASA KWA SWALA KAMA HILI....nawasilisha.....
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. nover

  nover Senior Member

  #3
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  nimekupata vilivyo mkuu, ntazingatia hilo...ubarikiwe sana
   
 4. ndupa

  ndupa JF-Expert Member

  #4
  Sep 17, 2012
  Joined: Jan 25, 2008
  Messages: 4,448
  Likes Received: 37
  Trophy Points: 0
  thnx...your welcome!!!!
   
 5. m

  mwanamabadiliko JF-Expert Member

  #5
  Sep 17, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 441
  Likes Received: 340
  Trophy Points: 80
  Selection dielema inasumbua sana, hasa unapowashirikisha watu wakushauri, mana kila mtu atakwambia la kwake. Kikubwa zingatia wewe unachopenda, moyo wako na akili yako inapenda nini. Economics na statistics ni nzuri tu na ajira zake zipo na tunawafahamu watu waliosoma coz hzo na wanamaisha mazuri, it is a well known one. Hik kpind ni kigumu weng tumepitia huko , wengne watasema umepotea, wengne umepatia . Talk to ur heart. Karibu UDSM
   
 6. s

  souvenir Senior Member

  #6
  Sep 17, 2012
  Joined: Aug 24, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Account ni rahisi kupata kazi saa na wakati wowote,
   
 7. nover

  nover Senior Member

  #7
  Sep 17, 2012
  Joined: Apr 7, 2012
  Messages: 136
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  asanteni wate kwa ushauri wenu... i have made up my mind aleady, am going for economics with statistics, thanx all
   
Loading...