Hili limeniumiza sana akili,tafadhalini kaka na dada zangu wapendwa nisaidieni.

Arnold Ndosi

Member
Aug 14, 2012
65
3
Jambo Hli Linaweza likawa nje ya jukwaa le2 hili lakini kwakuwa kuna my fellow great thinkers na wengne,nisaidieni 2.

nimefanya utafiti sana juu ya chanzo cha uoga na hofu inayomtanda mtu akiona maiti lakini bado sijapata majibu.
ninadhani hajawah kufufuka marehemu yeyote akamtafuna m2 au akamfanyia m2 jambo baya.kwanini sasa tunaogopa miili hyo.
m2 akiwa mzima huogopi wala kusita ukiambiwa umguse au ulale nae kitanda kimoja,lakini weee! ukiambiwa umguse au ulale na marehemu unajihs uko ndani ya gharika,kwa nini sasa?.
Naombeni Mnitowe Kwenye Fikra Hz Zilizokosa Majibu Muda Mrefu Kwa Kutoa At Least 7bu Tatu.ahsanteni
 
mwana nafikiri hii ni point ya maana na nahi haiko out of jukwaa la elimu coz itawasaidia ata wale wanaoenda kusoma udaktari na course nyingine za afya coz watakuwa wanacheza na CADAVER kwenye courz ya ANATOMY!Ngoja 2wasubilie wadau ka watakuja na point za tija au ma2c kama kawa?
 
umeongea la maana sana hapo mkuu..ngoja tuwasubiri wenye point!!
 
Tatizo lipo kwenye usiri uliopo kati na mzima na aliyekufa kingne ule ni mzoga hauwezi kuintertain kulala nao ila mbona watu wa mochuari hawaogopi maiti so hata uadimu wa jambo(kufiwa) kutokea linaweza likawa sababu kubwa.
 
Mkuu, Arnold Ndosi.. kwa mtazamo wangu, sidhani kama kuna uhusiano wowote wa kisayansi ila imani.

MASOMO: Mwaka wa kwanza wa masomo ya udaktari wanafunzi hujifunza kupitia miili hiyo(corpse), huitwa Cadaver. Mwili husomwa kwa kiungo kimoja kimoja, kupasuliwa, kukatwa n.k..lakini hakuna uoga katika hili(kujifunza) na hakuna jambo lolote la "ajabu"

KAZI: kuna watu hufanya kazi mbalimbali ikiwa na uhusiano ulio/usio moja kwa moja mfano. Madaktari, Watu wafanyao kazi sehemu za kuhifadhia miili(Mortuary), Polisi, walinzi wa makaburi n.k.. katika hawa hasa hayo makundi mawili niliyotaja mwanzo ..sijawahi kusikia Uoga, au kuonekana kwa mambo ya ajabu..isipokuwa kundi la mwisho na mengineyo.

IMANI: Mtoto mdogo leo hii wa Dsm, Arusha, Mwz, na mikoa mingine hapa nchini, umeme ukikatika na ukamuagiza chumbani..atakwambia "ninaogopa".na ukitaka kujua anaogopa nini atasema, "ninaogopa tu au ninaogopa giza"..lakini je tumewafundisha watoto wetu hivyo? lakini si tabia ni ile ile bila ya makazi yake(mkoa)? ..
AU si jambo la ajabu kumuona dada/mama akipiga kelele na wakati mwingine akiruka ruka kwa ajili ya kumuogopa "MENDE", na unaweza kujiuliza hivi huyu ana matatizo gani? hivi alivyo mkubwa hivi(kiumbo) kuliko mende, atamdhuru? akikaa kimya mende atamfanya nini? nk...same phenomenoun applies katika mwili usio na uhai..

Nadhani Imani(Dini) ina sehemu yake katika hili, nikimaanisha Spirits(evil spirits and demons), Mila na "desturi" zetu (Mizimu, uchawi) , Kijamii(uonayo kila leo katika Cinema ,Movie theatre kuhusu yatokeayo makaburini), mtu binafsi(personal perception) nk vyote hivi hupelekea "UOGA" huo, lakini sidhani kama kuna jambo la kuogopa katika hili.
 
Jambo Hli Linaweza likawa nje ya jukwaa le2 hili lakini kwakuwa kuna my fellow great thinkers na wengne,nisaidieni 2.

nimefanya utafiti sana juu ya chanzo cha uoga na hofu inayomtanda mtu akiona maiti lakini bado sijapata majibu.
ninadhani hajawah kufufuka marehemu yeyote akamtafuna m2 au akamfanyia m2 jambo baya.kwanini sasa tunaogopa miili
m2 akiwa mzima huogopi wala kusita ukiambiwa umguse au ulale nae kitanda kimoja,lakini weee! ukiambiwa umguse au ulale na marehemu unajihs uko ndani ya gharika,kwa nini sasa?.
Naombeni Mnitowe Kwenye Fikra Hz Zilizokosa Majibu Muda Mrefu Kwa Kutoa At Least 7bu Tatu.ahsanteni

sababu
1.hawaongei
2.ni wabaridi
3.dah hilo swali ni gumu dah umeshalala nao nn
 
1.hawaongei
2.wabaridi
3.dah mbona swali gumu umeshalala nao nn
Sarah Kessy Acha Utani! Nakumbuka Niliogopa Sana Kipnd Kaka Yangu(mtoto Wa Ba Mkubwa Wangu)niliye Mpenda Na 2lieongozana Nae Mara Kwa Mara Alipo Aga Dunia,niliogopa Sana.ofcoz Hata Sikumtazama Ila Niliogooopa!.asante Kwa Kuchangia,2po Pa1
 
kweli we great thinker

Ofcoz Siko Ktk Jukwaa La the Great Thnkers Lakin Huwa Ninapenda Hlo Jina Kwa 7bu Maana Yake Ni Kama,philosophers Hv.kiukweli Huwa Mimi Ninajiuliza Maswali Mengi Sana So Huwa Ninakosa Majibu Mengne.i Therefore Knw Exactly Tht It Is Only A Great Thinker who Can Do So.cheki thread Yangu Nyngne Hapo Nimeititle,ELIMU DUNIA VS BWANA MUNGU then Sema Jambo.
 
yote kwasababu mwanadamu alipo muudhi Mungu adhabu kuu ilkuwa hii ya kurudishwa mavumbini,naukimshuhudia binadamu navyo kata roho utaogopa zaidi jinsi anavyoteseka,kingine we kama binadamu hakuna jambo unaloogopa kama kifo
 
Back
Top Bottom