WILLIAM Shakespeare | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

WILLIAM Shakespeare

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by elmagnifico, Sep 18, 2012.

 1. elmagnifico

  elmagnifico JF-Expert Member

  #1
  Sep 18, 2012
  Joined: Jul 7, 2011
  Messages: 7,913
  Likes Received: 7,458
  Trophy Points: 280
  huyu ni mwandishi wa vitabu vya michezo ya kuigiza ambaye alizaliwa mwaka 1526.
  Shakespeare inaaminika kwamba ndiye mwandishi bora kabisa wa michezo ya kuigiza ambaye hajawahi kutokea.
  Toka shakespeare aage dunia na vitabu vyake kupata umaarufu sana kumekuwa na mashaka iwapo ni kweli yeye ndiye aliyeandika vitabu hivyo au kulikuwa na waandishi walioandika vitabu kwa kutumia jina lake kutoka na sababu flani flani imbazo ziliwafanya wasitake kujulikana.
  Sababu kubwa inayo wafanya watu wengi kuhoji juu ya uwezo wa shakespeare kuandika vitabu hivyo , ni kwamba alitokea familia ya kimasikini sana na hakuwa na elimu kubwa wakati vitabu vyake vilionesha mwandishi alikuwa na upeo mkubwa kwenye masuala ya sheria, dini, uongozi, biashara, lugha, jeshi, utabibu, mapenzi na kila kitu kinachohusu maisha ikiwemo psychology pamoja na philosophy.
  Baadhi ya vitabu vyake nilivyo bahatika kusoma ni hivi
  Julius Ceaser.
  Romeo and julieth
  Hamlet
  King henry
  Macbeth
  Cymbiline
  Na vingine vingi tu.
  Vitabu vyake vimejaa quatations nyingi zenye ujumbe mzito ambao mimi nimetokea kuwa mpenzi wa kutumia hizo quatations katika maongezi yangu.
  je wewe umewahi soma play yoyte ya shakespeare? Kama ndiyo weka quatation unayo kumbuka mimi naanza kwa kuweka hii.
  Love all, trust a few and do wrong to none.
  Na expectation is the root to all heartache
   
Loading...