Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

JF Prefixes:

Chuo cha maafisa ugani Naliendele - Mtwara, moto kinateketea kwa moto muda huu. Nimearfiwa na mwanangu anayesoma huko. Walio Mtwara watupe maendeleo ya hali hii tete.....
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Samahani lakini, eti coarse ya bachelor of commerce in international business ina field mwaka wa kwanza??????/
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kwa wale first year mlioachaguliwa st john tembeleeni website ya chuo muone allocation ya mikopo yenu.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
vp jamani mambo hayajavuja bado?
0 Reactions
2 Replies
3K Views
nimechaguliwa kujiunga na bsc in it pale ifm,ckujpng kwa ajil ya hyo kozi so hata mkopo ckuomba c mnafaham walichofanya tcu kwa baadh ya watu!!nahtaj n postpone mpaka mwakan ili niombe mkopo tu na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Hivi tumetembea kuona hali ya vio vikuu vya Tanzania jinsi vilivyo???? :nono:
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Jamani mlioko dsm na mliomba mkopo bodi lakini hamkupata au majina yenu hayakutoka mmefuatilia bodi wanasemaje?
0 Reactions
1 Replies
812 Views
Kwa msichana yeyote ambaye amechaguliwa kwenda Ardhi University tafadhali aniPM.Tuongee vitu flani.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Wadau Bodi ya mikopo kwenye matangazo yao pale ofisini walisema siku ya leo tarehe 1 October wataweka maelezo jinsi ya kukata rufaa kwa waliokosa mikopo. Lakini mpaka muda huu kwenye tovuti yao...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Hbr jf,naomba 2tumia elimu zetu za a/c kuchambua courses za baaf ya muccobs ambapo mm ni mwanafunz mwaka wa kwanza,pls pale penye mapungufu utoa kwa detail na penye kusifia pia hivyo hivyo,karibun...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Ivi deadline ya kuripoti kwa first year SAUT ni lini? Maana mm nilichaguliwa uko bila ya kujua na mkopo wng umepelekwa uko uko.na kwa sasa nishalipia cost zte za udom, uku nasubr tcu watangaze...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samahani wadau naomba kuuliza kama naweza kuamisha mkopo kutoka chuo kimoja kwenda kingine,sababu nimechaguli vyuo viwili na mkopo nimepelekewa chuo nisichokipenda,nawasilisha.
0 Reactions
0 Replies
928 Views
​ sijui mchanganuo wa BSE mkopo wangu ni 4183000
0 Reactions
0 Replies
817 Views
Naomba ushauri wana jamii forums niko kazini kama mwalimu na ndo nimemaliza shahada ya ualimu nimeapply upolisi na nimeitwa kwenye usaili unaoanza jumatatu. Nahitaji ushauri nisije kurupuka...
0 Reactions
89 Replies
11K Views
Priority Course-inamkopo by Loan BoardNon-priority course-Haina mkopoHivi naomba mnieleweshe waheshimiwa, hizi course zinapobadilika wale walioelimishwa kwa course hizo hizo wanapelekwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
HakiElimu nimeona wameanzisha kampeni ya kuboresha elimu ya awali, Binafsi naona hili ni suala la kizalendo sana hasa ukiangalia elimu yetu inavyokwenda mrama, mpaka inafikia watu wanamaliza std...
0 Reactions
0 Replies
865 Views
Mri
Jaman post za mri zitatoka lini?naomba mnisaidie
0 Reactions
3 Replies
824 Views
Naomba kujua kile kitabu cha public service recruitment ntakipataje? Kile kinachoelezea kaz, na mambo ya interview. mwenye idea pls
0 Reactions
0 Replies
960 Views
Hivi hili neno linaeleweka kweli kwenye baadhi ya TOVUTI za wizara kwenye hii serkali yetu? Nimejaribu kufuatilia kwa muda mrefu kwenye hii sehemu walipoweka eti ni CURRENT NEWS unakuta vitu...
0 Reactions
0 Replies
977 Views
Jaman naomba munisaidie mimi nimechaguliwa udom bachelor of education in special needs nimepatiwa mkopo sh mil 3 laki 2 alfu 27 na mia 5. Nimeshalipa direct cost lakin nimeshindwa kulipa kiwango...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Back
Top Bottom