J JPM605 JF-Expert Member Aug 6, 2012 216 122 Oct 20, 2012 #2 With that pass rafiki kimbilia Mwenge chuo cha Ualimu ngazi ya degree kipo Moshi. Au omba degree chuo chochote mwakani na TCU.
With that pass rafiki kimbilia Mwenge chuo cha Ualimu ngazi ya degree kipo Moshi. Au omba degree chuo chochote mwakani na TCU.
MARCKO JF-Expert Member Jun 10, 2011 2,258 274 Oct 20, 2012 #3 Walimu SIYO fani yawaliofeli. Hebu cheki upolisi
dunia tunapita JF-Expert Member Aug 15, 2012 356 61 Oct 20, 2012 #5 dip ya ualim unapata vizuri sana,,,ila nakushauri nenda kilimo na mifugo kwa future yako
Perry JF-Expert Member Feb 24, 2011 10,043 2,000 Oct 21, 2012 #6 Kasomee mambo ya mifugo na kilimo kwanza.
oxlade JF-Expert Member Jul 8, 2012 601 94 Oct 21, 2012 #7 kwa pass zako chuo kikuu unapata kabisa, sikushauri ufikirie diploma apply chuo kikuu mwakani kwa kupitia tcu ukapate degree yako. Nb. Anza kudunduliza ada mapema
kwa pass zako chuo kikuu unapata kabisa, sikushauri ufikirie diploma apply chuo kikuu mwakani kwa kupitia tcu ukapate degree yako. Nb. Anza kudunduliza ada mapema