Wa afya tulokosa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wa afya tulokosa

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by sky_haf, Oct 20, 2012.

 1. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #1
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  wana jf wa afya tulokosa, nini cha kufanya? Na wap tuelekee kutafuta masomo?
   
 2. Bongoclever

  Bongoclever Member

  #2
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Yaani nashndwa kuelewa walvyofanya kwa raia!
   
 3. G.T.L

  G.T.L JF-Expert Member

  #3
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Pole, vuta subira kidogo kwa mwakani japo muda unazidi kusonga na maisha yanazidi kuwa magumu.Ila tambua bila Kuhonga au kujuana kupata nafasi itakua ngumu sana.
   
 4. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #4
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Tz hii bora uhonge upate haki yako ya msing, lkn la si hivyo..wanyonge hatuzipat
   
 5. Bongoclever

  Bongoclever Member

  #5
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 97
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Hamna mambo ya kuhonga bhana! Ucmkatishe tamaa mwenzako.
  Mbona dogo langu kachaguliwa na hakuhonga kitu chochote kile!
  Mcsikilize non-slogan za wa2!
   
 6. G.T.L

  G.T.L JF-Expert Member

  #6
  Oct 20, 2012
  Joined: Jul 15, 2012
  Messages: 208
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 45
  Mkuu, ndomana nmesema bila kuhonga au kufanyiwa mpango kwa kujuana itakua ngumu sana kupata nafasi ila cjasema huwezi kupata nafasi bila kuhonga...Me pia kuna watu wengi nnafahamiana nao wamepata nafasi kwa kuhonga/kujuana huku applicants wengine wenye criteria nzuri wakikosa nafasi kwa kutofanya mchongo.So, unapofanya mchongo unakua na nafasi kubwa ya kufanikiwa.
   
 7. d

  da bigdada New Member

  #7
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  We umeangaliaje mbona c wenzio znazngua?
   
 8. Kertel

  Kertel JF-Expert Member

  #8
  Oct 20, 2012
  Joined: May 11, 2012
  Messages: 2,432
  Likes Received: 578
  Trophy Points: 280
  Fungua kila chuo(basing on course u requested) tafuta jina lako
   
 9. Ben40

  Ben40 Senior Member

  #9
  Oct 20, 2012
  Joined: Apr 18, 2012
  Messages: 195
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Ushauri jamani hapa katikati hadi mwakani kunavyuo vingine?lakini Kanda ya kati wamebandika milembe.
   
 10. d

  da bigdada New Member

  #10
  Oct 20, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 4
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Jaman bac nisaidien kama jina la feby lucas kwa kanda ya mbeya kama limetokea maana kwangu imekuwa inazngua,,msaada tafa
   
Loading...