Warembo wa SUA mwanipotezea concentration mwenzenu..!!

ROGERSHINE

Senior Member
Aug 15, 2012
129
82
jana nilikuwa nakatiza mitaa flani hapa sua,daaah nilipofika sehemu flani nikakutana na watoto flani wanachuo
wakiwa wametupia half dressing style
maswali kibao yakaanza kunijaa akilini hivi kweli kwa mtindo huu tutafika kweli
nahisi ule uamuzi niliojiwekea wa kutokuwa na demu chuo umeanza kupotea
bora na mimi natafute tu demu hapa chuo. arrrrrrrrrrrrrrghghghghg?
 
Kaka mbona Msimamo unakua impaired simple namna hii?

We assume ni Wabaya na wana Ngoma utadumu kwenye msimamo
 
kweli wewe mkaka ni dhaifu sana.kwa mtindo huu utateseka sana!!! hivi mpaka umefika umri huo hujawahi ona warembo kama hao? Take care,warembo ndo wamepewa special task ya kusambaza vvu! ukiona nakupotosha wewe nenda kajaribu uone!!!!
 
SUA nayo baada ya kuanzisha hako kakozi ka mangwini ka rural development imeharibu kabisa.Enzi zile hakukua na mtu wa kuwaza mademu SUA labda ajitokeze by default mfano wewe unasomea Veterinary Medicine and Public Health ambayo degree inachukua miaka mitano huo muda wa kuwaza uchafu unegeutoa wapi
 
acha ujinga wewe utadisco kwa kuwaza mademu,.hilo ndo tatizo la balehe ukubwani..kwan kwenu mtaan hakuna mademu wakali kuliko sua?
 
Upumbavu mwingine, ndio madhara ya kukaa kijijini muda mrefu, unalimbukia mademu wa kawaida tu!
 
Fahamu kwamba hicho ndicho kitakuwa kifo cha boom lako. Jaribu uone.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom