Udom,laptop za kuuza kwa mwaka wa kwanza

Mao ze dong

JF-Expert Member
Aug 28, 2012
941
1,006
Oya wajomba mi natafuta laptop ya kuanzia laki 4,kwa hapa Udom kwa aliyenayo au mwenye namba za wakala anipe.isiwe mchina
0768596758
 
upo college gani?? kama uko Ng'oX niPM unitafute ntakusaidia ni wapi na laptop ipi itakufaa.
 
upo college gani?? kama uko Ng'oX niPM unitafute ntakusaidia ni wapi na laptop ipi itakufaa.

nipo COED nataka top ya kuanzia laki nne ila ntatoa 3 kwanza,kama vpi nisaidie kuhusu kuipata na ubora nimeweka namba zangu hapo
 
nchek kwenye 0714 600 829 nina del latitude core 2 duo procesor 2.0 ghz ram 2 gb hdd 120 gb dvd wrter,wifi,bluetoth na wireless guarantee 1 year bei 400,000 tu.
 
Back
Top Bottom