Walimu walipipigwa mkwala wakanywea,.....Inaniuma sana | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Walimu walipipigwa mkwala wakanywea,.....Inaniuma sana

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by BUMIJA, Oct 21, 2012.

 1. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #1
  Oct 21, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  Ni majuzi tu walimu nchi nzima waligoma kwa madai ya msingi......Simaanishi kua naupenda mgomo,.....Bali kilio changu ni kua ilipobainika kua mgomo ni batili,hatua gani ambazo chama cha walimu wamechukua?Nasema kua CWT ifutwe mana wanakula pesa kazi no
   
Loading...