Kikosi kazi:matokeo ya wizara ya afya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kikosi kazi:matokeo ya wizara ya afya

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Advicer, Oct 16, 2012.

 1. Advicer

  Advicer JF-Expert Member

  #1
  Oct 16, 2012
  Joined: Nov 21, 2010
  Messages: 429
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 45
  Ndugu zangu nipo na wadau hapa wahanga weenzetu wa wizara hii katika matokeo haya tunayoyangojea ya clinical officers na mengine yaliyo chini ya wizara hii kwa hamu sana kutokana na kukaa muda mrefu bila taarifa zozote zenye uhakika.hivyo tumeoa sasa tuwashirikishe wazo hili kwa umakini zaidi.tugawane majukumu kwa nyie mliopo dar mtusaidie wanaoweza kwenda pale wizarani na kuuliza kipi kinajiri afanye hivyo pia nikuombe bro.emmanuel magige ujaribu kuwasiliana na rombo girl atuambie kinachojiri huko naamini unaemail address yake,bro ngassa pia pita hapo wizarani.at least naomba ifikapo saa 7:01 tuwe tumepeana taarifa juu ya nini kimetokea na nini tunangoja na lini yanatoka.  Nb;kama mada haikuhusu na huijui naomba uwaache wahusika

  nawasilisha
   
 2. G

  Geofrey J Member

  #2
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 21
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwel mh.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Oct 16, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  kwani majina yameshatoka?
   
 4. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #4
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  ilo nalo neno yani ningejua nisingeondoka dar sa hvi full presha huo mgawanyo umekaa fresh ila rombo girl katuchinjia bahari ila sio case acha tusubiri
   
 5. Christopher Lasha

  Christopher Lasha Member

  #5
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kunandugu yangu ametokea hapo muda huu.
  Anasema amekuta issue hawajabandika na alipojaribu kuwaona wausika,wamemwambia wanaweza wakatoa Jumatatu.
  Yeye mwenyewf akachoka na ratiba zao zisizoeleweka,akaamua kuondoka lakini anadai kuna wanafunzi wengi wamekwenda kuulizia kuhusu.
  Nahisi kama wamejisahau kuwa watu walitoa pesa zao kufanya application,la sivyo kwa nini wasitoe taarifa kuwa nini kinachoendelea na lini watatoa hayo majibu.......!
   
 6. S

  Stv Mkn JF-Expert Member

  #6
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 237
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hii sio kawaida lazima kuna tatizo...ila vuteni subira wadogo zangu,Mungu atawasaidia mtapata.
   
 7. s

  sky_haf JF-Expert Member

  #7
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 7, 2012
  Messages: 226
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ******* adabu kabisa msije mkagoma
   
 8. r

  rombo girl Member

  #8
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wadogo zangu tatizo kubwa ni waziri ameshakabiziwa sasa nijukumu lake kutangaza hili watu watoe Ila ndio hivyo viongozi wetu.mm natamani hata sasa yatoke Ila ndio hivyo mpaka waziri aseme.kiukweli hakuna wazir mzembe kama mwinyi.
   
 9. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #9
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  dada nashukuru kwa updates zako hpo kidogo nagata moyo
   
 10. r

  rombo girl Member

  #10
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mm nawashauri kesho njoon kazini mpige kelele mkitaka kumuona waziri labda atashituka akili yake.yani mkija wala msitoke bila majibu yenu.mkizembea mwezi huu unaisha bila majibu yoyote.wakazi wa dar njooni kesho kwa wakazi wa mbali namba ya ofisi ya waziri ni+255222120261/mwisho weka265,266,267.tujalibu kumsumbua anaweza akatoa kesho mkazi wa dar usikose kuja.
   
 11. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #11
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  kwahiyo rombo girl tarehe ya kuripoti chuo ni lini
   
 12. Michael Bosco

  Michael Bosco Member

  #12
  Oct 16, 2012
  Joined: Jan 10, 2010
  Messages: 66
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 15
  au kisa wa kwake wanasoma nje ya nchi ila haina shida kesho kutwa nafungua ofisi na nyie
   
 13. r

  rombo girl Member

  #13
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 19
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ww hata kesho njoo.
   
 14. double click

  double click JF-Expert Member

  #14
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  da! Hlo ndo la maana kiukwel mlioko Dar naomba kesho muende bl hvyo itakula kwe2 inabd kesho pachimbike.
   
 15. S

  Spenderjak Member

  #15
  Oct 16, 2012
  Joined: Oct 15, 2012
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna mtu wangu wakaribu(ndugu yangu) anafanya kazi apo wizara ya afya ameniambia dodoma ndio wanachelewesha ila dsm wamesha maliza since tareh 3
  so lets wait with hope
   
 16. double click

  double click JF-Expert Member

  #16
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 12, 2012
  Messages: 249
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  jaman, mlioko Dar mkutane wizaran mkizembea imekula kwenu c mnajua tena viongoz wt walikwsha zoea kusukumwa.
   
 17. W

  Wapaa Member

  #17
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 17, 2012
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kiukwl m nmechoka,waziri naomb pesa yng kam hujui, kwe2 mwsho wa rel,faster npe ma money,aaaaaa!!!!!.
   
 18. N

  Ngassa De Swagger New Member

  #18
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 3
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaani Leo nimeenda Na hakuna lolote!Wanatuzingua tupu na kama vp Twendeni wote tukawasumbue wote...
   
 19. V

  Vallyvatcher Member

  #19
  Oct 17, 2012
  Joined: Oct 6, 2012
  Messages: 8
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nchi hii imejisahau, kila mtu anahangaikia tumbo lake kwanza matokeo yake watoto wa wakulima tunateseka bila sababu, sasa mtu ukitegemea wizara ya afya thn bahati mbaya ukose, utaenda wapi tena upokelewe, hii si kuk0m0ana...!
   
 20. A

  Apex JF-Expert Member

  #20
  Oct 18, 2012
  Joined: Jul 31, 2012
  Messages: 429
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wizara ya mtoto wa 2nd presida ndo hyo,uwezo hana lkn anabebwa na koti ya 2nd presida! Kama vp tafuten mahali mkutane na vyombo vya habar mfunguke may be itawaamusha kutoka waliko lala,poleni wapendwa
   
Loading...