Selection za wizara ya afya kanda ya Dar es salaam

Devowa

Member
Oct 20, 2012
7
0
Plz kwa wale mliopo Dar na yeyote anaeweza kunisaidia naomba mniangalizie DEVOTHA T WARIOBA niliomba diploma ya cnical officer na Nursing
 
Soma pia hilo tangazo (attachment) kwa taarifa zaidi na kwa majina ya certificate Nursing, gonga hiyo link.Downloads - Certificate
 
Attachments

  • Tangazo kwa wote walioomba nafasi za masomo mwaka 2012.pdf
    109.3 KB · Views: 192
Plz kwa wale mliopo Dar na yeyote anaeweza kunisaidia naomba mniangalizie DEVOTHA T WARIOBA niliomba diploma ya cnical officer na Nursing

Nimekuangalazia mdogo wangu....wamekuweka waiting list ya clinical officers...mafanikio mema
 
Back
Top Bottom