Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Hatimaye wanachuo wa SUA walamba böoom' duh mwaka wa kwanza ni ful kucheka na ATM machine.
0 Reactions
20 Replies
2K Views
Jamani eeeh kwa ambao hawana loan udom hapafai ni balaa................
0 Reactions
11 Replies
2K Views
nimechaguliwa UDOM mwaka huu nimepewa na mkopo ila coz sijaipenda nimeshafanya na usaili nimelipa na baadh ya fees niliyohitaji kuchangia ila nataka niachane na chuo je mwakani application...
0 Reactions
1 Replies
911 Views
Wadau kwa yeyote mwenye taarifa za mahali pa kuishi kwa wanafunzi wa GRADUATE STUDIES anijuze,
0 Reactions
3 Replies
2K Views
habari wanajamii Forums , Tafadhari nahitaji kufahamu faida za kufanya mitihani ya TOEFL, wapi hapa Dar naweza pata Tuition zake , vipi gharama zake ,na gharama ku giregister kufanya mitihani hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali inayochochea msongo wa mawazo, walimu tisa wamejikuta wakiishi katika vyumba vitatu vya nyumba moja kutokana na uhaba wa nyumba. Kufuatia hali hiyo, Baraza la Madiwani la Sengerema...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mhadhili msaidizi wa chuo kikuu cha Dodoma Mr DEOGRATIUS CAMERIOUS DUZU Amefariki jana tarehe 23/10/2012. Chanzo cha kifo chake hakijafahamika, ila taarifa za awali zinaonyesha marehemu...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Ukifuatilia tovuti ya chuo kikuu huria cha tanzania utaona kuna jambo la ajabu linaloendelea kwa mpaka sasa kutoonekana majina ya wanachuo watakatunukiwa shahada za udhamili na uzamivu wakati...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Jaman kwa mwenye kujua taratbu za kufuata anijulishe nataka kuhamisha mkopo wangu toka sua to Ardhi
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Video ya mashine ya kukamua maziwa inayojiendesha yenyewe tangu kumuandaa ng'ombe hadi kiasi cha maziwa yaliyokamuliwa hiko hapa SEKTA YA MIFUGO TANZANIA
0 Reactions
2 Replies
5K Views
Bofya hapa na ingiza jina lako
1 Reactions
10 Replies
4K Views
heshima yenu! wakuu na hitaji cheti cha degree cha out cha magumashi,kwa yeyote anayejua wap naweza pata anisaidie access...natanguliza shikrani
0 Reactions
2 Replies
1K Views
bofya hapa TANZANIA AUTOMOTIVE TECHNOLOGY CENTRE » JOB VACANCY
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Watu wa bodi ya mikopo chuo kikuu cha Mzumbe wamehesabu wanavyojua wao number of days wanazokaa field wanafunzi wa mwaka wa tatu kwa kuweka siku 106 badala ya siku 120 ambazo ni semester mbili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakubwa eti program inayoongoza kwa watu kudisco ni sababu ya ugumu au inakuwa na vilaza wengi
0 Reactions
8 Replies
2K Views
25/10/2012 Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kitakuwa na mahafali ya 42 tarehe 27 Oktoba 2012 na Novemba 3, 3012. Jumla ya wahitimu 3,643 watatunukiwa shahada na stashahada wakati wahitimu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
For both BRD takers 1,2 and 3 year i need 2 share with you on issue of futuring of our coz so if you know anything we can share bz im 1year use kiswahili our nation language
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Dah wakuu wezangu me kesho narudi zangu arusha kwani nishafulia nimebakiwa na nauli 2,boom cjui wamegoma kutoa,kwa wanasua wenzangu niwatakie masomo mema,ngoja nikajichange kwanza
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wanafunzi wako bize na swaga,nyimbo,magemu n.k ikifika tahaarifa ya habari wanatoka nje,ukiuliza mambo ya nchi yao PTO..
2 Reactions
21 Replies
3K Views
hi guys, ningependa kujua toka kwenu kama kuna mtu anajua kutoka kwa majibu ya chuo cha afya sindida pia tarehe za kuripoti pia. asanten sana nitafurah nikijibiwa.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom