Msaada Kuhamisha mkopo

Thebony

Member
Aug 16, 2012
92
2
Jaman kwa mwenye kujua taratbu za kufuata anijulishe nataka kuhamisha mkopo wangu toka sua to Ardhi
 
Subiri siku 60 mkopo wako unarudi Loan board toka SUA nao wanakusanya taarifa na kuzituma ndani ya siku 30 kuja UCLAS
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom