Mashine ya kukamua maziwa inayojiendesha yenyewe (automatic milking mashine)

Siyo cost effective kwa Tanzania tena ambapo unaweza kupata kijana wa kukamua ukamfundisha na mshahara chakula tu
 
Siyo cost effective kwa Tanzania tena ambapo unaweza kupata kijana wa kukamua ukamfundisha na mshahara chakula tu

Upo sahihi hata nchi kama Finland wanaotumia ni wachache sana kwasababu ya bei yeke kuwa kubwa sana na kwa Tanzania labda wenye mashamba makubwa ya ng'ombe wa maziwa na ng'ombe awe anatoa maziwa mengi.
 
Back
Top Bottom