Hili nalo janga vyuoni!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili nalo janga vyuoni!!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Rweye, Oct 23, 2012.

 1. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  wanafunzi wako bize na swaga,nyimbo,magemu n.k ikifika tahaarifa ya habari wanatoka nje,ukiuliza mambo ya nchi yao PTO..
   
 2. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #2
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  hakuna wanachokijua zaidi ya kuguess,tena za nje ndo kabisaa,hawa ndo viongozi wa baadae ..nchi hii cjuhi wapi inaelekea
   
 3. piper

  piper JF-Expert Member

  #3
  Oct 23, 2012
  Joined: Jan 17, 2012
  Messages: 3,260
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Ndo kizazi cha dot.com na wengi wao ni wavivu wa kufikiri na ubunifu.
   
 4. bhikola

  bhikola JF-Expert Member

  #4
  Oct 23, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 457
  Likes Received: 72
  Trophy Points: 45
  hawa mi nafikiri wana akili zaidi kuliko hata wewe ambaye umesikiliza taarifa za habari kwa zaidi ya robo karne na bado hujabadili chochote. Taarifa zenyewe za uongo na kupikwa tu. mfano, taarifa ya habari inatangaza riport ya tume ya kuchunguza kifo cha mwangosi, kisha inahitimisha kwa kusema, policcm hawakuhusika, na wewe unajua wamehusika
  taarifa ya habari inatangaza, pato la taifa limekuwa kwa asilimia 7, na wewe umasikini kwako unaongezeka, babu na bibi zako vijijini maisha yanawapiga vibaya. wewe mwenyewe una mwaka wa 6 hujaenda kwenu likizo kisa no nauli
  haya unaambiwa tz jeshi letu limejipanga vizuri, kesho unasikia mna ndege moja tena ya msaada na yenyewe imeanguka baada ya kushindwa kuruka sijui kutua, na mbaya zaidi imeua mtz asiye na hatia
  shame on those taarifa
  mi pia sisikilizi taarifa za bongo na siyo mwanafunzi ni mwalimu, na sitakuja kuwahamasisha wanafunzi wangu wasikilize huu upuuzi
   
 5. Bally B

  Bally B Senior Member

  #5
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 11, 2010
  Messages: 143
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Nilikuwa napita tu samahani lakini-naona kuna ka ukweli hapo uliza saizi uchunguzi wa Barlow umefikia wapi kama utapewa jibu.samahani lakini
   
 6. Father of All

  Father of All JF-Expert Member

  #6
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 3,093
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Ulimbukeni wao utawatokea puani baadaye. Taifa linapokuwa na viongozi limbukeni huzaa jamii ya watu limbukeni. Wanachofanya wanafunzi ni uthibitisho wa waliowazaa.
   
 7. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #7
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  taaharifa ni case study,najaribu kureveal how serious thse guys pay attention to their domestic matters,bora ww unajua
   
 8. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #8
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  wao hawajuhi hata hyo GDP ni nn na ni ngapi,hauwezi kujenga hoja pia kwa kukimbia taaharifa na mitizamo mbadala ...PTO
   
 9. Baba V

  Baba V JF-Expert Member

  #9
  Oct 23, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 19,507
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 160
  Sasa wahangaike na TAHAARIFA ya kazi gani!?
   
 10. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #10
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  sasa kama za ndani feki hata za nje nazo feki?angalia vipindi vya uchambuzi ama *tv/itv ni nani yuko interstd ...kweli??
   
 11. Pdraze

  Pdraze JF-Expert Member

  #11
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 15, 2011
  Messages: 611
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 35
  utafiti wa uongo huo
   
 12. majany

  majany JF-Expert Member

  #12
  Oct 23, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  MMh...lakini kweli,wanafunzi wengi hawaangalii hizo mambo....lakini hata hao walioangalia for the past ten years,wamepata nini??Siwezi kuwalaumu wanafunzi wala kuwapa chapuo kwa hilo........wakati mwingie mazingira yanawafanya watu ku'behave tofauti....
   
 13. Zamaulid

  Zamaulid JF-Expert Member

  #13
  Oct 23, 2012
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 16,358
  Likes Received: 6,700
  Trophy Points: 280
  eti bwana,wakizeeka watasikiriza nini!!!taarifa ya habari ya wazee!!
   
 14. K

  Kiparaa JF-Expert Member

  #14
  Oct 23, 2012
  Joined: Feb 2, 2012
  Messages: 391
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  well said brother. .
   
 15. B

  Benito Josh Member

  #15
  Oct 23, 2012
  Joined: Jul 30, 2012
  Messages: 76
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  mbona watu mnajitoa kama nyie hili taifa haliwahusu...nyie mmelifanyia nini taifa lenu zaidi kutoa lawama tu....ondoa boriti katika jicho lako ndipo ulisafishe jicho la nduguyo
   
 16. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #16
  Oct 23, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,060
  Likes Received: 3,087
  Trophy Points: 280
  nyie endeleeni kuchek muvi 24/7 thn mtaiona nchi yenu itakavyokuwa make kama ni uduni wa maisha nyie ndo victims wa ksho
   
 17. Mao ze dong

  Mao ze dong JF-Expert Member

  #17
  Oct 24, 2012
  Joined: Aug 28, 2012
  Messages: 567
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  msomi yoyote unatakiwa kuwa update na informaion kuhusu nchi yako na dunia kwa ujumla kwa mtazamo wangu na faida yake ni kutanua uwezo wa kutafakari/kuchambua/ku-compare matukio,msomi anatakiwa afuatilie habari za ndan na nje,anyway ni mtazamo tu
  NASIKILIZA DW KILA SIKU SAA 7 full kuelimika
   
 18. majany

  majany JF-Expert Member

  #18
  Oct 24, 2012
  Joined: Sep 30, 2008
  Messages: 1,199
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Nakuunga mkono Mia kwa Mia...tena sanaaa....mi nimeanza kusikiliza,by that time BBC ilikua juu,kabla ya DW,sijui na hii ya wachina,france......ninachosema,siwaungi mkono wala kuwa'crash.....nayafaham vyema mazingira ya chuo,pindi utakapokua unapata 30% kwenye tuition fee,na ukakata boom lako kujilipia ada(kufidia hiyo 70%) kwa kuwa wazazi ni hohe hahe.....taarifa ya habari utaisikilizia kwenye bomba,kichwa inaenda resi kama machinga anayewindwa na mgambo!!!All in all,taarifa za habari zinahusika sana!!:shut-mouth:
   
 19. j

  jaluz Member

  #19
  Oct 24, 2012
  Joined: Oct 18, 2012
  Messages: 47
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Habari hizo hizo za mafisadi waliokula hela nyingi na kila siku kesi zinapigwa tarehe,acha iwe hivyo bana!
   
 20. Kimbori

  Kimbori JF-Expert Member

  #20
  Oct 25, 2012
  Joined: Feb 21, 2012
  Messages: 2,738
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wanaongalia na kufuatilia ligi za mpira, nyimbo n.k hususani, za huko majuu ni wengi ile mbaya. Ukiwauliza habari za nchi hii, wanashangaa utadhani wametoka Ulaya saa hiyo hiyo. Huwa napata kazi kubwa ya kuwasimulia 'wasomi' kinachoendelea ndani ya nchi yao.
   
Loading...