nisaidieni kujua kama majibu ya chuo cha afya singida kama yabandikwa.

suachitivi

Member
Oct 20, 2012
5
0
hi guys, ningependa kujua toka kwenu kama kuna mtu anajua kutoka kwa majibu ya chuo cha afya sindida pia tarehe za kuripoti pia. asanten sana nitafurah nikijibiwa.
 
I think ni chuo cha labouratory technicians,yametoka na reporting date ni 9-10 november
 
Back
Top Bottom