Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,092
Mhadhili msaidizi wa chuo kikuu cha Dodoma Mr DEOGRATIUS CAMERIOUS DUZU Amefariki jana tarehe 23/10/2012.
Chanzo cha kifo chake hakijafahamika, ila taarifa za awali zinaonyesha marehemu alianguka ghafla alipokuwa akiangalia mpira kati ya Chelsea na Shkahtar Donestky, alikimbizwa hospitalini lakini kwa bahati mbaya alifariki mida ya saa 10 asubuhi.
Mwili wa marehemu umesafirishwa kwenda kwao morogoro kwa shughuli za maziko.
Marehemu alizaliwa mwaka 1977. Mungu alitoa na Mungu ametwaa jina lake litukuzwe Amin.