Shule ya Sekondari ya Kata ya Ndevelwa iliyopo mkoani Tabora imeweka historia kwa kuwa na wanafunzi watoro kupindukia. Form Four wamebaki wanafunzi 3 kati ya 36. Form Three yupo mwanafunzi 1 kati...
Leo ndio siku yangu ya kwanza kuandika uzi hapa Jamii Forum, hasa hapa kwenye jukwaa la elimu. Jamani naomba msaada wa kuniondolea hiki kinacho nisibu kwa muda mrefu. Eti kwa nini BARAZA LA...
Leo OUT wamefanya mahafali yao huko mkoani Pwani. Wahitimu wamejitapa kuwa wao ni bora zaidi kuliko wahitimu wa vyuo vingine. Wanasikitika kuwa wanabaniwa sana kwenye ajira.
Hiki siyo chuo cha...
jamani mimi ni mwanafunzi wa udom (bsc.mathematics) nataka kufanya field bank katika idara ya programming
kwahiyo naomba msaada wa kimawazo ni programming language ipi ambayo bank hupenda kutumii...
wakuu heshima kwenu,kuna hii NGO inaitwa HIGHER LEARNING STUDENT SUPPORTING FUND wanajitangaza kuwa wanatoa mikopo kwa elimu ya juu,kuna mtu ambae amekwisha nufaika na mikopo yao?au ni wajanja...
Wajameni kuna kitu cha ajabu kinachoendelea open university of tanzania, wakati graduation ni kesho, mpaka sasa hawajatoa majina ya postgraduate graduands kwenye website yao, kama walivyoahidi...
Nahitaji watu/mtu wa kufanya naye review/discussion kuanzia tarehe tano ya November . Kama upo tayari na upo Dar naomba uni-pm.
Natanguliza shukrani!!!
wakuu nahitaji mtu mwenye materia or any idea ambayo itaniwezesha kupata materia ya corse ya ECONOMIC DIPLOMACY KAMA MWENYE SOFT COPY ANIRUSHIE KUPITIA EMAIL subira2012@yahoo.com plea no joke
Binafsi naamini hata yule msomaji mzuri wa Riwaya tu ana uwezo
mkubwa wa kufikiri kuliko watu wasiosoma kabisa vitabu, Naombeni
ufafanuzi kwanini Watanzania wamekuwa si wapenzi wa kusoma vitabu...
Bibi mkazi wa Tunduma ambaye hajawahi soma hata darasa la kwanza,akiwa na wajukuu alisema waafrika wataendelea kupungua miaka ijayo kwa kukosa maada za sayansi ya ugunduzi kwenye mifumo ya elimu...
Kochi University of Technology
Outline of Graduate School
Master's Program
Doctoral Program
Admission
Special Scholarship Program
SSP Research Project List
List for SSP...
In addition to the foundation's program of support for postdoctoral research, ten or more dissertation fellowships are awarded each year to graduate students who would complete the writing of a...
The master programmes, lasting one or two academic years, focus on specific problems of developing countries. These are designed to enable graduates to share and apply acquired knowledge in the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.