Ufisadi mwingine bodi ya mikopo ya elimu ya juu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ufisadi mwingine bodi ya mikopo ya elimu ya juu

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by reg edit, Oct 26, 2012.

 1. reg edit

  reg edit JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2012
  Joined: Oct 4, 2012
  Messages: 291
  Likes Received: 211
  Trophy Points: 60
  Watu wa bodi ya mikopo chuo kikuu cha Mzumbe wamehesabu wanavyojua wao number of days wanazokaa field wanafunzi wa mwaka wa tatu kwa kuweka siku 106 badala ya siku 120 ambazo ni semester mbili. Kama mjuavyo chuo kikuu cha Mzumbe wanafunzi huwa hawaendi field mwaka wa kwanza wala wa pili bali huwa wanaenda semester ya kwanza yote ya mwaka wa tatu ambayo inaanza 22 october 2012 mpaka 22 february 2013. Kwa maelezo yao wanasema wameangalia almanac ya chuo ambayo inasema 25 january 2013 ni mwisho wa lectures zote na wakati kwenye website ya chuo inaonyesha mwisho wa lectures ni 17 february 2013 pia wametoa siku za sikukuu pamoja na jumamosi na jumapili. Kumbuka pesa ya field kwa siku ni Tshs 10000 sasa piga hesabu kwa hizo siku walizokata na hiyo idadi ya wanafunzi wa mwaka wa tatu let say wanafunzi 800 kwa sababu sio wote wanaopata mikopo. Nawasilisha
   
Loading...