Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Asee mimi nakwazika sana kwenye kufanya application ya kuomba transcript kwanza wameweka namba ambazo ukipiga hazipokelewi na zikipokelewa hakuna anayeongea. Pili, kwenye mfumo ukiomba Control...
0 Reactions
3 Replies
121 Views
Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali...
8 Reactions
19 Replies
483 Views
Anonymous
Natumaini mko salama. Ninaandika kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu Chuo Kikuu cha St. Augustine University of Tanzania SAUT kuhusiana na fedha za ada nilizolipa ziada kiasi cha Tsh 500,000 na...
2 Reactions
3 Replies
86 Views
Za muda huu ndugu zangu poleni na majukumu ya siku ,Kwa anaefahamu utaratibu wa kupata mkopo tena kwa mwanafunzi aliesitishaga masomo kwenye degree akiwa mwaka wa kwanza sasa anataka kurudi chuo...
1 Reactions
0 Replies
90 Views
MSAADA WAKUU Mimi ni mwanafunzi nahitaji ushauri wa kozi nzuri ya afya kwa diploma kati ya hizi DENTISTRY, RADIOLOGY & NURSING
1 Reactions
13 Replies
433 Views
Anonymous
Tunaomba kufahamu hatima ya wanafunzi waliozuiliwa kufanya Test 1 katika Chuo cha MUST, ambapo mfumo wa matokeo umeonyesha alama za ABSC. Kwa mujibu wa taarifa kutoka chuoni, wanafunzi hao...
1 Reactions
0 Replies
63 Views
Teknolojia haiwezi kuchukua nafasi ya walimu, lakini inaweza kuwa nyenzo muhimu ya kuongeza usawa wa fursa za kujifunza kwa kila mwanafunzi. Leo hii, AI imekuwa kama mwalimu binafsi anayepatikana...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Anonymous
Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA) namba walizoweka za huduma kwa wateja hazipokelewi na watu wanashida, ni bora kama hawatoi huduma kwa njia ya simu wafute hizo namba. Nimepiga namba zote sasa...
1 Reactions
0 Replies
73 Views
MIMI NITAKUSAIDIA KWENYE MAMBO YAFUATAYO MUDA WOWOTE MIMI NI MTAALAMU NINA UZOEFU WA MIAKA MINGI NITAKUSAIDIA KATIKA MAMBO YAFUATAYO UKIWA POPOTE 🔓 𝙺𝚄𝙵𝚄𝙽𝙶𝚄𝙰 𝙰𝙲𝙲𝙾𝚄𝙽𝚃 𝚈𝙰 𝙰𝙹𝙸𝚁𝙰 𝙿𝙾𝚁𝚃𝙰𝙻 & 𝚄𝚂𝙷𝙰𝚄𝚁𝙸...
0 Reactions
0 Replies
68 Views
Mwanachama wa JamiiForums.com kupitia Jukwaa Jukwaa la Elimu (Education Forum) aliandika “Kipengele kipya cha Anuani ya Makazi (NaPA) katika Fomu ya Mkopo wa HESLB hakieleweki kwa Watendaji wengi...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kwenye uombaji wa mkopo kuna kipengele kipya cha kuweka National physical address (NaPA) hiki ni kipengele kipya kwa waombaji Mwaka 2025. Tatizo kimetolewa bila maelekezo yoyote na Wadau...
3 Reactions
11 Replies
3K Views
Tunafundisha tuition masomo yafuatayo: PHYSICS, CHEMISTRY, na MATHEMATICS. Online & Home tuition Service available. Tupo Tegeta- DSM 0782044028
0 Reactions
0 Replies
82 Views
Anonymous
Habari, Naomba suala hili lifanyiwe uchunguzi. Kumekuwa na malalamiko kuhusu utaratibu wa kuanzishwa kwa michango mikubwa katika baadhi ya shule za sekondari za Wilaya ya Longido, hususan Shule...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
UDOM imeongeza Programu 5 mpya za Shahada za Awali: ✅ Bachelor of Science in Medical Laboratory Sciences (BSc-MLS) ✅ Bachelor of Business with Education (BBE) ✅ Bachelor of Counselling...
0 Reactions
6 Replies
292 Views
Habari viongozi, ninataka kujiunga chuo cha ARUSHA TECHNICAL COLLAGE ila nataka kujua kama dirisha la maombi ya usajiri tayari au bado? na kama bado ikiwa tayari naomba mnijulishe kwa mnao jua na...
2 Reactions
43 Replies
519 Views
ATTENTION ATTENTION Attention! Tunahitaji walimu wa Home Tuition kwa ajili ya kufundisha katika maeneo mbalimbali ya Dar es Salaam. 1. Mwalimu wa Pure English in Literature Awe na uwezo wa...
0 Reactions
4 Replies
131 Views
Anonymous
Walimu tulioajiriwa mwaka 2025/2026 katika Wilaya ya Babati Vijijini tunaomba kuwasilisha kero ya kutolipwa fedha zetu za kujikimu tangu tulipoanza kazi mwezi Februari. Tumekuwa tukifuatilia...
0 Reactions
0 Replies
33 Views
Hey Guys, naomba ushauri kwa mwenye experience anaejuwa kuhusu kati ya hizi kozi mbili which one is much better to study? Job availability NGOs, private sectors and Government.
0 Reactions
4 Replies
116 Views
Msaada kama kichwa hapo juu kinavyojieleza asante
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Kwa ufaulu wa one ya nane ya cbc hgl na mathematics c ya olevel naweza kuchaguliwa chuo Cha NIT kwa kozi ya it,hr na shipping and port logistics
1 Reactions
15 Replies
230 Views
Back
Top Bottom