Habari ndugu zangu !
Mdogo wetu wa kike amepata ufaulu huu hapa chini na tungependa kupata ushauri kwa next step.
GS - S
Physics - D
Chemistry- C
Bio - C
Bam - C
Anapenda mambo ya afya sana, sasa...
Mtu anaanza kusoma tu electronics anakutana na multistage amplifier.
Kabla ya multistage kuna vitu vya msingi sana ambavyo mwanafunzi anabidi avielewe na hawa wanafunzi wa form six sasa hivi...
Ningependa kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu hali ya ufundishaji katika Chuo cha Dar es Salaam Institute of Technology (DIT), ambayo kwa maoni yangu imekuwa ikiwakwamisha wanafunzi wengi kupata...
Nitangulize Salamu, habarini wakuu
Kwa mara nyingine nakuja na hii. Mimi ni muhitmu wa kidato cha 6(sina elimu zaidi ya hapo) ambae nina uzoefu mkubwa katika kufundisha somo la hesabu (O & A...
Sisi ni baadhi ya Wanafunzi wa Diploma (March Intake 2025/2026) wa CBE Mwanza Campus hadi sasa matokeo yetu bado hayajapandishwa kwenye mfumo wa NACTVET, jambo linalotukosesha fursa za kuomba...
Kuna madai ya matumizi mabaya ya madaraka katika Shule ya Sekondari Tarime yanayohitaji uchunguzi wa mamlaka husika.
Inadaiwa kuwa Mkuu wa Shule alipendekeza mwalimu wa Fizikia ahamishiwe shule...
Mimi ni mdau mwenye mtoto anayesoma katika Kitengo cha Elimu Maalum katika Shule ya Msingi Msimbazi Mseto, nimeamua kujitokeza na kuzungumza kwa uchungu mkubwa kwa sababu kinachoendelea shuleni...
Naombeni ushauri ndugu,ni coz ipi ya maji nzuri ambayo nikimaliza chuo nikafanya recategolization naweza pata ahueni ya maisha..
Wale wa kafanye biashara pliz sitaki...coz now nataka kusoma tu kwanza
Halmashaurii ya Nsimbo, Mkoani Katav kuna Shule ya Sekondari yenye jina la aliyekuwa Mbunge wa zamani wa wilaya hiyo, inaitwa Anna Lupembe Secondary, hii shule wanafunzi wa kidato cha kwanza...
Wanafunzi na baadhi ya walimu katika upande wa afya wanatoa tuhuma dhidi ya viongozi watatu wa chuo ambao ni Liberatus Phillip (Mkuu wa Chuo upande wa Afya), Sylvester Mgeta (Mtathmini Ubora) na...
Sijawahi kuona mifumo mibovu kama ya hawa NACTVET wameweka almanac lakini hio almanac hawaifati kabisa tunahitaji mabadiliko makubwa kwa uongozi wa NACTVET tumechoshwa na kona kona.
Hadi sasa...
Kuna mada niliweka kuwa na mashaka na elimu ya sasa niliweka JF.
Moderator utaweka.
Elimu ya tanzania sasa mtoto kafaulu mfano PCB ila ukiangalia tokea nyuma background na maswali una muuliza ni...
Ukosefu wa maji katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) umeendelea kuwa kero kubwa kwa wanafunzi. Tunalazimika kutumia muda mwingi kusaka maji badala ya kusoma kwaajili ya UE na mitihani mingine, huku...
Tunaomba mtusaidie kupaza sauti kuna shule huku Mbezi Makabe inaitwa Safi Primary School, watoto wa darasa la nne wanatoka saa moja usiku mpaka wafike nyumbani ni saa 2 usiku.
Asubuhi wanafuatwa...
Kijana anataka kuwa vet (daktari wa wanyama) anataka kusoma bachelor of agriculture science halafu mwaka wa tatu achague livestock production, je baada ya hapo anaweza kutambuliwa kama daktari wa...
Niliposikia D.I.T wamefungua tawi la Mwanza nikaona kile kilio cha watu wa kanda ya ziwa kukosa chuo cha sayansi kwa muda mrefu kimejibiwa.
Nilitegemea kuzikuta zile kozi kuu kama Telecoms, Civi...
Mnasoma kutumia magroup study. Mnatafuta material kupitia Ai. Huu ninuzembe na na hakuna mtakacho kipata uelewa wenu bado unakuwa ni mdogo sana.
Fuateni uashauri wa Prof wa kujisomea kwanza na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.