Habari za muda huu wanajf ,
Kuna msemo wa Kiingereza unasema, "The world belongs to those who read." Katika ulimwengu wa sasa ambao taarifa (information) zinapatikana kwa wingi, uwezo wa kuchuja...
Chuo Kikuu cha Dodoma ( IDOM) kupitia Shule Kuu ya Sheria (SoL), leo Mei 22, 2026, kimeendesha semina maalum kwa wanafunzi wa sheria katika ukumbi wa CT1 uliopo Ndaki ya Biashara na Uchumi...
Chuo Kikuu cha Dodoma kwa kushirikiana (UDOM) na TISEZA pamoja na Shirika lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF), leo tarehe 23/05/2026 katika Ukumbi wa Auditorium – CIVE...
Hii ndio list ya huduma utakazopata kwetu
Huduma katika masuala ya ajira
1. Kujisajili ajiraportal
2. Kujisajili taesa
3. Kujisajili katika bank portals
4. Kuandaa application letter
5. Ku...
Wakuu, habari za muda na wakati huu.
Katika harakati za maisha na kujitafuta unakuta umesoma Elimu nyingine ila mpenyo wako ulipata ulipo amua ku step up nakusoma kishort kozi kikakutoa...
Mimi ni mkazi wa Mwanza, na napenda kuelezea changamoto kubwa tunayoipitia kila siku, hasa nyakati za asubuhi kwa wanafunzi wanaotegemea daladala kwenda shule.
Kwa muda sasa, hali imekuwa ngumu...
Nimeona andiko la Mdau kutoka VETA kuhusu changamoto ya Forklift upande wa Dar, upande wa Mbeya hali ni hiyohiyo, hali ya masomo ya udereva yamekuwa magumu, magari hakuna kwahiyo Serikali...
Habari wakuu
Unaweza kumshauri mtu achukue short course gani kati ya hizi ambaye kaishia kidato cha 4 na hakua na background nzuri kwenye mathematics japo ana kichwa chepesi upande wa computer...
1. Kuhamia watu wanadaiwa kati ya laki 5 hadi milioni unaambiwa mchango wa kitanda lakini kweli kitanda hakuna mtoto atalala chini au watalala wawili.
2. Watoto wanalala wawiwili (kinyume na...
Malalamiko yamezidi nimeona nilifikishe hili hapa jukwaani ili Watanzania wengine walifahamu.
Wazazi wamekuwa wakichangishwa michango ya kila siku, michango isiyokwisha, yaani kwa kifupi shule...
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), kwa kushirikiana na Shirika Lisilo la Kiserikali la Save Youth Dream Foundation (SYDF) pamoja na Mamlaka ya Uwekezaji na Maeneo Maalumu ya Kiuchumi Tanzania (TISEZA)...
Kero yangu ni kuhusu Chuo cha Bandari kilichopo Tandika Jijini Dar es Salaam, sisi tunaosoma kozi fupi ya Reach Stacker tunapokwenda kwenye mafunzo kwa vitendo pale NASACO Bandarini hukuta mashine...
Chuo cha ujenzi- ICoT chini ya wizazra ya ujenzi mkoani morogoro kinachotoa coz ya udereva kimekuwa kikiendesha coz hiyo kwa utapeli na kinyume na utaratibu.
Wapo wanafunzi wa mwez wa 11, 12 ...
Taa za barabarani karibu na Cafe ya College of Humanities katika Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) zimekuwa hazifanyi kazi kwa takriban miaka miwili sasa.
Eneo hilo ni muhimu kwa Wanafunzi wanaokwenda...
Shule yetu ya Mkondogwa Primary School iliyopo Kata ya Chamazi Wilaya ya Temeke, Mkuu wa Shule anatutoza rushwa sana, tukihamishia watoto wetu pale anatutoza hadi shilingi laki moja kwa madai ni...
Some of our educated brothers and sisters are increasingly unhappy and openly frustrated with USA way of life. Highly educated Tanzanians are currently working in embarrassing lower paying jobs...
Arusha, 28 Machi, 2026
Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) kimeibuka mshindi wa Kwanza katika mashindano ya Girls in ICT Hackathon 2026 baada ya wanafunzi wake kushiriki kubuni mfumo wa kuhakiki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.