Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

1. Bachelor of Cyber Security (IAA) 2. Bachelor of Science in Data Science and Artificial Intelligence (ARU) 3. Bachelor of Science in Data Science and Artificial Intelligence (MUCE) 4. Bachelor...
1 Reactions
0 Replies
170 Views
Habari. Tuwasaidie wadogo zetu waliomaliza form six mwaka huu wanaotarajia kwenda vyuoni mwaka 2025/26 Karibu Kwa kutaka degree useless ambazo zitampotezea muda na Wala hasizisogelee kusoma...
15 Reactions
114 Replies
7K Views
Ukisoma bachelor of science in chemisty au in biology ni lazima ujekua mwalimu wa hayo masomo husika au unaweza piga ishu nyingine kutokana na hizo course?
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kuna kozi ya moja kwa moja kusomea uanakemia? Vipi kuhusu vigezo vya kusoma kozi hio? Ni vyuo gani vinahusika? Na vipi kuhusu ajira zake? Na kwa nini siisikii kozi hii na hali wanakemia wapo...
2 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wakuu.....mim ni mkemia nipo hapa kwa ajili ya kuitumia taaluma yangu ya ukemia na uwezo wangu wa kufundisha mim ni mwanafunz wa chuo mwaka wa 2 naenda course ya b.chem lakini pia niko na...
1 Reactions
44 Replies
5K Views
Tanzania inajiandaa kuzindua mabadiliko makubwa zaidi katika sekta ya elimu katika kipindi cha miongo kadhaa, kwa kuanzisha mafunzo ya vitendo (internship) ya mwaka mmoja chini ya usimamizi kwa...
1 Reactions
13 Replies
558 Views
Mara oh mwehu wew unapost pumba tu na Hauna mchango wowote jeiefu folamu..haya sasa mzigo hua wa statistics na wale wa data analysis!!. Bureeeee kabisaaaaa bureeeeeeee!!!!!
1 Reactions
3 Replies
142 Views
Hapa kimenikataa au niendelee kusubili?
1 Reactions
12 Replies
349 Views
Wakuu kwems? mimi ni mwl kwa 10 years now, (accounts and Business) nawaza ipi itanipa faida, kusoma CPA au kuongeza masters + PhD? ipi inaweza kunipa faida kwa sasa. niko government schools...
3 Reactions
17 Replies
253 Views
Tumetembelea shule ya Ivumwe high school kuzindua mradi wetu mpya wa swahili family youth future and leadership empowerment program TUTAKUA NA MASHINDANO YA DEBATE PAMOJA NA MDAHALO NA MSHINDI...
1 Reactions
5 Replies
125 Views
Anonymous
Chuo cha Elimu ya Biashara (CBE) kimeanzisha utaratibu wa wanafunzi wa mwaka wa tatu kufanya utafiti (research) na kuufanyia utetezi (defence) katika muhula huu. Hata hivyo, wanafunzi...
1 Reactions
10 Replies
245 Views
Anonymous
Tunahitaji msaada hapo NACTVET Mikocheni unaenda unakaa siku nzima unaambiwa tu kuwa mtandao unasumbua, watu wanahitaji AVN Number, Transcript za matokeo na shida zingine pia zinazohusu huduma za...
0 Reactions
1 Replies
116 Views
Kero yangu kubwa kuhusu NACTVET ukiwapigia simu hawapokei na inapotokea wamepokea hawaelekezi vizuri, wanafanya kazi kama vile wamelazimishwa. Yaani kila ukipiga simu ni kama vile hawataki...
0 Reactions
3 Replies
260 Views
Nina malalamiko yangu kwa Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi na Mafunzo ya Ufundi Stadi (NACTVET) kuhusu huduma ya mawasiliano kwa wateja. Kumekuwa na changamoto kubwa ya kutopokelewa simu...
0 Reactions
5 Replies
223 Views
Asee mimi nakwazika sana kwenye kufanya application ya kuomba transcript kwanza wameweka namba ambazo ukipiga hazipokelewi na zikipokelewa hakuna anayeongea. Pili, kwenye mfumo ukiomba Control...
0 Reactions
3 Replies
121 Views
Ni kwa muda mrefu sasa wanafunzi wa Udaktari Bingwa wa Mifupa Bugando wamekuwa wakipitia mazingira magumu pamoja na kufelishwa makusudi katika idara yao bila uongozi wa chuo kuchukua hatua, ilhali...
8 Reactions
19 Replies
483 Views
Anonymous
Natumaini mko salama. Ninaandika kuwasilisha malalamiko yangu kuhusu Chuo Kikuu cha St. Augustine University of Tanzania SAUT kuhusiana na fedha za ada nilizolipa ziada kiasi cha Tsh 500,000 na...
2 Reactions
3 Replies
86 Views
Za muda huu ndugu zangu poleni na majukumu ya siku ,Kwa anaefahamu utaratibu wa kupata mkopo tena kwa mwanafunzi aliesitishaga masomo kwenye degree akiwa mwaka wa kwanza sasa anataka kurudi chuo...
1 Reactions
0 Replies
90 Views
MSAADA WAKUU Mimi ni mwanafunzi nahitaji ushauri wa kozi nzuri ya afya kwa diploma kati ya hizi DENTISTRY, RADIOLOGY & NURSING
1 Reactions
13 Replies
433 Views
Anonymous
Tunaomba kufahamu hatima ya wanafunzi waliozuiliwa kufanya Test 1 katika Chuo cha MUST, ambapo mfumo wa matokeo umeonyesha alama za ABSC. Kwa mujibu wa taarifa kutoka chuoni, wanafunzi hao...
1 Reactions
0 Replies
63 Views
Back
Top Bottom