Bingwa ulipita pale?The best VTC in Tanzania ni Moshi.
Kile chuo kina karakana nyingi na zimeenea kinyama mkali, lile chombo lina madude yenye mikato vyede usipime.
Lakini time imesha pita ukitaka kujiunga pale vizia fomu tena around Sept or October
Level gani ya elimu unayozungumzia hapa?Habari za muda huu watanzania wenzangu..Nilikua napenda kufahamu chuo gani kizuri kwa kozi ya kutengeneza vifaa vya kielectronics mfano Simu,Computer na TV,ada yake pia itakua ni kiasi gani?
Kama NTA nenda DIT ,lakini hizo kozi zipo kwenye NvA,nenda VETA KIPAWABasic Technician