Naomba ushauri

Habar natumai wazima nawaomba mnishauli

Nimemaliza diploma TPSC (Tanzania Public Service College) course Record, information and archive management GPA 3.0

Natamani niombe mkopo ilinendelee kusoma degree hususa accountancy je naweza nimekidhi vigezo na ni chio gani kizuri kwa koz hiyo
Rudi kwanza shule ujifunza kuandika halafu ndio mengine yatafuata.
 
Habar natumai wazima nawaomba mnishauli

Nimemaliza diploma TPSC (Tanzania Public Service College) course Record, information and archive management GPA 3.0

Natamani niombe mkopo ilinendelee kusoma degree hususa accountancy je naweza nimekidhi vigezo na ni chio gani kizuri kwa koz hiyo
Kigezo kikuu cha kupata mkopo ni kukubariwa na Chuo unachoomba, kwa GPA ya 3.0 inategemea na Chuo ukiondoa UDSM wanataka GPA ya 3.5, kwa hio vigezo unavyo omba mkopo ukishaapply Chuo
 
Mungu akusaidie sana kijana.
Misina zaidi ya hayo tu
 
Kigezo kikuu cha kupata mkopo ni kukubariwa na Chuo unachoomba, kwa GPA ya 3.0 inategemea na Chuo ukiondoa UDSM wanataka GPA ya 3.5, kwa hio vigezo unavyo omba mkopo ukishaapply Chuo
Kukubaliwa sio kubariwa ni llllll sio rrrrrrr
 
Samahani kwa jinsi nilivyo andika ila cha msingi ni maana ya nilichokiandika. Kwa njia moja ama nyingine wapo mwanafunzi wanaokosa ushauli kwa watu wanaowazunguka na wanakuja sehem kama hizi kuomba ushauli hivyo msiwakosoe bila kuwashauli
 
Back
Top Bottom