Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Wakuu Mimi nilisoma bachelor ya computer science Udsm, mwaka huu Nina mpango wa kusoma MBA kwenye chuo chohote hapa mjini. Nilikuwa naomba msaada wa mawazo na ushauri kuhusu haya maamuzi yangu...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Mwenye ufahamu,msaada kidogo,jamaa alimaliza DIT,2006,ADVANCED DIPLOMA,ana suplementary moja,atawezaje kusajiri bodi ya wahandisi?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hiv ukiwa na masters ya Mathematics unaweza fanyakaz kam nan na ni sehem gan?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba kuulizia shule za private za gharama nafuu kbs hapa tz na gharama zake
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Kuna baadhi ya vyuo hela ya field bado ni kitendawili. Mwenye kujua chochote kuhusu hili swala atupe taarifa maana field zimeshaanza na fedha haijatoka mpaka sasa.
1 Reactions
55 Replies
7K Views
Ndg zangu wa jukwaa hili tukufu salaam,ndg zangu naomba anayeifahamu kisarika secondary ya kilimanjaro naomba anisaidie kupata no ya mkuu wa shule au mwalimu yoyote wa shule hyo. Kuna...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Mwaka jana Wizara ya Utumishi ilitoa waraka kuhusiana na posho ya madaraka kwa Walimu wakuu, wakuu wa shule na Waratibu Elimu Kata na ikaelezwa kuwa utekelezaji utaanza July mosi 2015. Kuna Wilaya...
0 Reactions
20 Replies
9K Views
Habari wana-JF! Serikali kuweni na huruma kwa watoto na vijana wetu kwa kuwapatia pesa zao za Field kwa wakati. Vijana wamelipoti kwenye maeneo yao ya field zaid ya wiki tatu sasa bila kuwa na...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari gani wana JF. Binti yangu kamaliza ‘’A’’ Level anataka sana kusomea shahada ya sheria na hivi sasa yupo katika harakati za kutafuta vyuo mbali mbali hapa TZ. Kama kuna mtu yeyote ana...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Kwa wale wote waliosoma education na kuchukua masomo ya language. Na wanaojua kuongea kingereza vizuri. Ambao wako tayari kwenda kufundisha china kwa mshahara mzuri..wapige no hii 0757-432597 kwa...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
hello Nimefanya application katika profile yangu course nilizochukua nime kutana na sehemu wameandika competition from other applicant so far then kuna capacity n priority, Itakua ina maanisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari gani wana JF. Binti yangu kamaliza ''A'' Level anataka sana kusomea shahada ya sheria na hivi sasa yupo katika harakati za kutafuta vyuo mbali mbali hapa TZ. Kama kuna mtu yeyote...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Eti wadu mwisho wa kuapply vyuo lin?
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Naombeni kuuliza eti waliomaliza diploma wakitaka kujiunga lazima wapitie NACTE
0 Reactions
2 Replies
918 Views
Habari wakuu, ninaomba ushauri wenu juu ya hiyo faculty kwa mwenye kuifahamu hasa katika soko la ajira na ushindani between applicants kwani ninafikiria kuomba kozi hii kwa bachelor degree...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
{ Certificate in Business Accounting CIBA } { NEW BATCH STARTS ON MID OF AUGUST } Learn This Course With The Highest Qualified Teachers! This Programme Consists of The Following : &#9679...
0 Reactions
0 Replies
811 Views
Vp wakuu unaweza chk profile yako ya tcu baada ya kuprint fomu
0 Reactions
2 Replies
873 Views
Nina ndugu yangu amenipigia simu leo anaomba nimsaidie kumuombea chuo, Nimejaribu kuulizia nikaambiwa deadline ni tar 02/08/2015 kesho. Inasemekana wanahitaji Cheti na Transcript, nilipomuuliza...
0 Reactions
2 Replies
978 Views
Nasoma AMUCTA mkopo ultoka kama APPEAL MT.MERU nliko chaguliwa awali. nmefuatilia TCU na HELSB bila mafankio! nifanyeje?
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom