Kwel bwana mleta mada uyu jamaa vipi, we hujakosea kuuliza na aulizaye siku zote ni anataka kujua!.. Kama hujui jambo ni vyema ufung mdomo wako, sio kila jambo lazima uchangie!!!
Kuna centre iko shule ya arusha school ni mkabala na Tanesco Arusha ni centre nzuri. Ofisi zao ziko jengo la Arusha Coperative Society ghorofa ya 3 au 4 mkabala na maktaba ya taifa ya Arusha. Mkuu ni vyema kama umeamua kuanza kukomaa na cpa mimi niliwaza nifanye maisha au nikomae na cpa nkaona niendelee na kibarua changu hiki pengine mbele kuna kheri. Komaa mkuu utatoka tu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.