Bitabo
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 1,900
- 690
Wadau mi niko Dar.
Nina mpango wa kusoma sheria ila nianze na certificate au Diploma kwa evening class au distance learning ili nisikwamishe shughuli zangu nyingine.
Naomba ushauri ni chuo gani naweza pata masomo haya kwa hapa Dar.
Msaada wa ushauri na mawazo ya kufanikisha wazo hili.