Uandishi wa barua ya kiofisi!

Uandishi wa barua ya kiofisi!

middo lulyheart

JF-Expert Member
Joined
Mar 18, 2014
Posts
260
Reaction score
98
Kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali watu wakihitaji kusaidiwa katika uandish wa barua za kikazi,
mf; barua za kuomba kazi.
Waalimu na yeyote ajuaye hebu tusaidiane kwa hili!
 
Kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali watu wakihitaji kusaidiwa katika uandish wa barua za kikazi,
mf; barua za kuomba kazi.
Waalimu na yeyote ajuaye hebu tusaidiane kwa hili!

Kwani upo darasa la ngapi?

Samahani lakini kwa swali langu nataka nijue tuanzie wapi kukuelekeza (usikwazike).
 
Salam.

1. Upande wa kulia juu, anwani ya mtumaji.

2. Tarehe ya barua ilipo andikwa.(upande huo huo wa anwani ya mtumaji.

3. Upande wa kushoto, chini kidogo ya tarehe, anwani ya mpokeaji.

4. Kama una marefaree (kupitia kwa-KK) andika anwani zao kulingana na protocol/mda uliofanya kazi kwenye company hiyo. (the current should be on top of others/ the top rank should be on top)

5. Salam.

6. Kichwa cha barua

7. Kiini cha barua.

8. Mwisho wa barua.

9. Jina na sahihi ya mtumaji/mwandishi wa barua. (upande wa katikati)/kushoto.

Kama kunasehemu inahitaji marekebisho nipo tayari kusahihishwa.

Dzudzuku.
 
Eti "kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali" , why all this!? ungesema tu nahitaji msaada kuelekezwa namna ya kuandika barua ya kikazi, hizo kejeli zimevutwa na namna ulivyowasilisha hoja zako.
 
Eti "kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali" , why all this!? ungesema tu nahitaji msaada kuelekezwa namna ya kuandika barua ya kikazi, hizo kejeli zimevutwa na namna ulivyowasilisha hoja zako.

Hivi ulitaka mimi niandike the all form of official letter ndipo ujue watu wanahitaji msaada?
 
Mnamsimamia kucha kwa kumsema.

Msaidieni mwenzenu.
 
eti "kumekuwa na maombi sehemu mbalimbali" , why all this!? Ungesema tu nahitaji msaada kuelekezwa namna ya kuandika barua ya kikazi, hizo kejeli zimevutwa na namna ulivyowasilisha hoja zako.

kweli bwana!

Mtoa mada angenyoosha tu maelezo.
Mbona hata mimi nilishasahau.
 
Jamani tupo wengi,,
ila mimi shida yangu ni kwenye "kiini cha barua"
mengine hayo rahisi.

Pale ni lazima kuna namna fulani kujieleza na lugha ya staha!

Mwenye kuweza ku-draft tafadhali tupia tumeze.
 
Hivi ulitaka mimi niandike the all form of official letter ndipo ujue watu wanahitaji msaada?

Kwa nini useme watu wanahitaji msaada?? kwa nini usijizungumzie wewe? why all this denial? Kwani ukisema "nahitaji msaada" unahisi utapungukiwa nini? Adios mkuu.
 
Salam.

1. Upande wa kulia juu, anwani ya mtumaji.

2. Tarehe ya barua ilipo andikwa.(upande huo huo wa anwani ya mtumaji.

3. Upande wa kushoto, chini kidogo ya tarehe, anwani ya mpokeaji.

4. Kama una marefaree (kupitia kwa-KK) andika anwani zao kulingana na protocol/mda uliofanya kazi kwenye company hiyo. (the current should be on top of others/ the top rank should be on top)

5. Salam.

6. Kichwa cha barua

7. Kiini cha barua.

8. Mwisho wa barua.

9. Jin
 
JUMA ALLY,
S. L. P
03.08.2015.
MKURUGENZI. .....
S. L. P. .......
DAR ES SALAAM.

K. K
MKUU WA IDARA. .
S. L.P. ...
DAR ES SALAAM

Ndugu,
YAH:MAOMBI YA. ............
Husika Na Kichwa Cha Habari Hapo Juu. .....
.................
..... .
........
........

Wako Mtiifu
...........
 
Naomba kufundishwa barua ya mwaliko inatakiwa iwe na vitu gan?na sio kadi ya mwaliko...nahtaji kufaham barua yake
 
Back
Top Bottom