CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,388
- 6,482
Naomba msaada please: Kijana wangu amepata physics B, chemistry B na biology B+. Anataka kujaza medicine Muhimbili, CUHAS and UDM. Udom inakataa kuwa points hazitoshi. System inasema ana point 4 wakati UDOM wanataka 5. Is this true!. How come ana points 4 wakati pass zake ni hizo hapo. Please help.