Jukwaa la Elimu (Education Forum)

If you have some College/School issues and wanna share with us, post them here!

On JF:

Vyuo vikuu vya Afrika Kusini ndio bora zaidi na maarufu barani Afrika Orodha kamili 1- Chuo kikuu cha Cape Town - Afrika Kusini 2- Chuo kikuu cha Witwatersrand - Afrika Kusini 3- Chuo kikuu...
0 Reactions
20 Replies
4K Views
HI
Natafuta mwalimu (primary) tubadilishane yeye atoke kilimanjaro aje tanga lushoto (bumbli) mimi nataka kurudi kilimanjaro tuwasiliane kwa no. 0656 136413 au 0754 805124
0 Reactions
1 Replies
936 Views
Natafuta mwalimu (Primary) wa kubadilishana nae atoke Kilimanjaro aje Tanga (Lushoto-bumbuli), nataka kurudi kilimanjaro. tuwasiliane kwa no. 0656 136413 au 0754 805124
0 Reactions
1 Replies
903 Views
Kwa yeyote anaehitaji field za tour guide tuwasiliane 0768052234>RUAHA GUIDING FIELD CENTRE>RUAHA NATIONAL PARK
0 Reactions
0 Replies
984 Views
Ndugu wanajamvi, kuna mdogo wangu anatafuta shule ya sekondari katika wilaya ya Nyamagana Jiji la Mwanza. Amehamishiwa hapo, hivyo hazijui shule za O'level za Nyamagana. Msaada please kwa yeyote...
0 Reactions
0 Replies
906 Views
Naomba msaada kwa anayefahamu kwa hili Afisa utumishi ludewa anakataa kuwafungia datashit watumishi waliokubaliwa kuhama na TAMISEMI eti hadi uliyebadili nae afike amuone tunaomba msaada...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari ya sasa ... nilikosea kununua vocha kwa ajilj ya kufanyia udahili wa chuo, baada ya kununua vocha ya TCU nikanunua ya NACTE ambayo sitaweza kuitumia. naiuza kwa gharana nafuu 35,000mwenye...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
I have a topic so what need is your cooperations because this the special forum for helping each other what i need is you to mention that youre proposing or opposing and start to flow your point
0 Reactions
1 Replies
1K Views
You buy $100 worth of stocks. The market goes down by 10%, you're worth $90. Next day, the market goes up by 10%, you're worth $99. Who pocketed the $1?
0 Reactions
4 Replies
939 Views
Habari wana JF Naombeni ushauri wenu Nataka kuwa Investment advisor, Financial advisor au Fund manager Ipi degree nzuri ya Finance au Economic nichukue?
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Loan officer, bursor na SAUTSO KAMA MNA-RETAIN FEDHA ZA FIELD KWA KUFAIDIKA KWA RIBA KWENYE MABENKI, MNA DHAMBI KUBWA. WANAFUNZI WENU WATAABIKA VIKALI HUKU WAKILALA MADARASANI KWAKUKOSA FEDHA YA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wakuu naomben msaada juu ya koz hii(ordinary diploma in petroleum geoscience) inayotolewa na chuo cha madini dodoma, ajira zake znapatikana wap baada ya Kuhtm chuo?
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Vp hii cours ya bachelor of scienc in land management and valuation unafany kaz ipi baadae???
0 Reactions
0 Replies
598 Views
Nimeomba maombi ya uwalimu ngazi ya diploma ya shule ya msingi, sasa, nimechagua vyuo vyote ni masomo ya sayansi, na kozi moja wapo ni kozi ya laboratory, je vip namimi naweza kupangiwa kituo...
0 Reactions
0 Replies
650 Views
Institute for Cultural Diplomacy is pleased to present information about our forthcoming conferences, academic programs and professional training sessions. BA, MA & PhD Programs for 2015 - 2016...
0 Reactions
0 Replies
723 Views
Wakuu Mimi nilisoma bachelor ya computer science Udsm, mwaka huu Nina mpango wa kusoma MBA kwenye chuo chohote hapa mjini. Nilikuwa naomba msaada wa mawazo na ushauri kuhusu haya maamuzi yangu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kama ilivyokawaida mwaka wa uchaguzi Chama tawala kimekuwa kikiwaajiri walimu pindi tu wanapomaliza masomo na kupata matokeo yao. Ajira hizo zimekuwa zikitolewa mwezi wa 9 . Je, kwa mwaka 2015...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Ni program ipi ya maabara ni nzuri nataka kumuombea mdogo kati ya hizi 1. Bachelor of Science in Radiation Therapy Technology 2. Bachelor of Medical Laboratory Sciences in Parasitology and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ni masaa 35 sasa tangu umeme umekatika hapa mabibo hostel, vijana wamekusanyika hapa block G tangu jioni kujadili nini cha kufanya. TANESCO tafadhali msichafue hali ya chuo chetu. Mungu ibariki...
0 Reactions
78 Replies
10K Views
Habari zenu wakuu.. Nimehitimu Advanced Level mwaka huu na nina jumla ya pass 10 kwenye PCM. Naomba kufahamu which one is the better course kati ya Civil Engineering na Petroleum Chemistry pale...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Back
Top Bottom