Certificate/ Diploma in Law

Certificate/ Diploma in Law

Bitabo

JF-Expert Member
Joined
Sep 27, 2011
Posts
1,900
Reaction score
690
Wadau mi niko Dar.

Nina mpango wa kusoma sheria ila nianze na certificate au Diploma kwa evening class au distance learning ili nisikwamishe shughuli zangu nyingine.

Naomba ushauri ni chuo gani naweza pata masomo haya kwa hapa Dar.

Msaada wa ushauri na mawazo ya kufanikisha wazo hili.
 
Wahi pale UDSM Faculty of Law, watakupa utaratibu mzima.
 
Back
Top Bottom